kuna kitu:
cc; Ntuzu, Mentor, EMT, kalou.
Kichapo walichotoa Chelsea kwa PSG na kuingia Semi-final kimewafanya wale wote waliokua wanaibeza Chelsea kukaa kimya ata baada ya hii ratiba ya NUSU kutoka! Maana Naona wengine wameshasema Chelsea Hiyo Kwenye final!
Tangu Abramovich aichikue Chelsea wamekua na rekodi nzuri sn Ktk UEFA!
Mpira umeshaanza Wa ATM dhidi ya chelsea! Yani mpk Hiyo tarehe 22. Tayari tutakua tumeshajua tuwapigaje hao ATM Kwahiyo itakua ni kukamilisha tu!

Mkuu vp hazard atakuwa yuko vizuri maana nilickia kuna uwezekano akakaa bench kwa 14 days
atletico na real wanaingia final....atletico wanabeba kombe!!!
Wewe ndio umekua Wa kwanza kusema hivi!
Vipi PSG Bado wamo au?
mngepangwa na bayern ningewapa 100%....lakini atletico madrid watawafugeni
Nawe ni shabiki wa Chel$ki$
Eti washambuliaji watano? Hujui hata washambuliaji wa timu unayoishabikia!!

Here we go!
KTBFFH
Washambuliaji (Attackers) na wafungaji (strikers) ....spot the difference sir.
Willian Oscar Hazard Schurrle Ba Eto'o Torres na wengine wachezao nafasi zao..ni attackers...washambuliaji wa Chelsea. Acha kumzingua mwenzako.