Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

UEFA wamepanga kabisa hii kitu haiwezekani waanze kujiongelesha kuhusu kipa afu itokee Atlet wanakutana na Champions.
 

Hilo saga la Courtois litawatesa ATM, huo mkataba waliridhia na wakausaini, Chelsea wakiamua kwenda nao mahakamani sidhani kama Uefa au Fifa watakua na nguvu ya kuzuia chochote
 
UEFA wamepanga kabisa hii kitu haiwezekani waanze kujiongelesha kuhusu kipa afu itokee Atlet wanakutana na Champions.

Halafu, labla mimi sijui, hivi mkataba kama huu ukisainiwa si kuna copy zinapelekwa Uefa? Kama ndiyo, walikua wapi siku zote kusema mkataba ni "null and void" mpaka siku ya draw?
 
Hata mie nashangaa kwani Chelsea mkataba wao unasema kuwa Courtois kucheza against Chelsea is 10 mil per game sasa hawa watu wa UEFA sijui wanaona sisi titashinda.
Chelsea wataenda mahakamani tu
 
Hata mie nashangaa kwani Chelsea mkataba wao unasema kuwa Courtois kucheza against Chelsea is 10 mil per game sasa hawa watu wa UEFA sijui wanaona sisi titashinda.
Chelsea wataenda mahakamani tu

Hili saga wamelitaka ATM wenyewe, kabla ya kuanza kwa msimu huu Chelsea waliwataka ATM waongeze malipo ya kuendelea kumtumia Courtois, ATM wakasema hawana pesa hiyo.
Basi wakakubaliana (Chelsea na ATM) na kusaini kwa kuingiza kifungu kwenye mkataba kuwa ikitokea Chelsea wamekutana na ATM katika mashindano yoyote, itawabidi ATM wailipe Chelsea pesa inayoaminika kufika £4.95/ kwa match, kama watataka kumpanga Courtois
 
Mbona man utd hawajapangwa jamani


Man United hawajapangwa kwa sababu hawajui kucheza.

zimebaki zinazojua kucheza mpira..

wengine walijaribu kucheza wakashindwa; mitimu mingine ya kizamani haitaki hata kujaribu..imebaki tu kusema enzi zetu tuilkuwa tunacheza sana..
cc.liverpool fans.
 
Chelsea fans will launch a collection to pay Jose Mourinho's £8,000 fine imposed by the Football Association for improper conduct after he was sent to the stands against Aston Villa.

They will start collecting on Sunday among supporters travelling to Swansea and will donate the 8,000 £1 coins to charity if the manager, who earns £8million a year, doesn't want to accept the donation .
Mourinho denied the FA charge but his case was rejected by an independent commission at a hearing this week and the fine was confirmed on Thursday. - source Mail Online
 

teh teh teh kwi kwi..naona mzimu wa jogoo hauwapi watu usingizi mwaka huu..kya kya kya kya
 
Hivi Uefa walijua kuwa Chelsea itapangwa na ATM? Kwanini wamerelease statement kuhusiana na mkataba wa Courtois on the same day of the draw halafu Chelsea wameishia kupangwa na ATM? Is it a coincidence?

cc; EMT

Whatever the reasons, I think it would have been very unfair for Courtois not to play.

He has been incredible for A. Madrid and deservesto play.

Many would like to these top players performing at the highest stage.
 
kuna kitu:

cc; Ntuzu, Mentor, EMT, kalou.

Whether kuna au hakuna kitu mwacheni Courtois acheze bana.

I thought you love the beautiful game.

As a Chelsea supporter would you have preferred to score against a mediocre keeper or the best stopper in the game?
 
courtois acheze tu...kipa bora baada ya hizo mechi mbili ndio awe kipa wa kwanza next season....
 
courtois acheze tu...kipa bora baada ya hizo mechi mbili ndio awe kipa wa kwanza next season....

There you go. Hapo Cech atakuwa under pressure kwenye mechi zote mbili.
 
Whatever the reasons, I think it would have been very unfair for Courtois not to play.

He has been incredible for A. Madrid and deservesto play.

Many would like to these top players performing at the highest stage.

We expect him to play and the Chelsea's Chief has just confirmed that.

But what if he lets in a cheap goal that end up deciding the tie?
 
We expect him to play and the Chelsea's Chief has just confirmed that.

But what if he lets in a cheap goal that end up deciding the tie?


very true..

hata kama atafungwa kwa halali watu watasema kwamba kafungisha..

ingawa ninavyoona dogo hana mapenzi na timu yetu kama alivyo babu Cech;

Dogo anajua kudaga si mchezo lakini i feel sad to let Petr Cech go..

i believe in Cech..aliumia akiwa kazini..we need loyal players like Cech.


 
There you go. Hapo Cech atakuwa under pressure kwenye mechi zote mbili.

Nadhani it's the other way around, atakayecheza under pressure atakua Courtois, atahitaji kuprove kwa Mourinho kwamba anastahili ile jezi namba moja, na kwa upande mwingine atahitaji kucheza akifikiria kutofanya kosa lolote ili asije kuonekana 'kauza' match.

Cech has got nothing to prove, in fact umri wake na uzoefu wa kucheza kwenye stage kubwa under massive pressure, itakua added advantage over the two goalies
 



Hivi John Terry (CaptainLeaderLegend) kashamuona huyu mama mpya wa Wayne Bridge? 😜
 
3. tunaweza kucheza washambuliaji 5 katika mechi moja ili tushinde; mfano juzi: Eto'o, Ba, Torres, Schurrle na Willian wote walikuwa ndani wakati mmoja

Nawe ni shabiki wa Chel$ki$

Eti washambuliaji watano? Hujui hata washambuliaji wa timu unayoishabikia!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…