Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Psg kweli mchuzi yaani wanapigwa kama watoto na cheltako
Tuliwaambia Intermilan na Real Madrid hawakucheza hawa PSG wasinghebeba hata UEFA
Inter wangeweka intensity ile waliowaonyesha kwa Barca wangebeba UEFA
Real Madrid Alonso alikuwa akitest mitambo akafumaniwa
 
Aisee hamna timu hapo wamesifiwa sana kumbe viazi kabisa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…