John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Sasa Ndo ukubaliane na sera mpya ya Chelsea na umiliki mpya .km unamtaka proven striker kina osimhen wakubali kwenda na wage structure ya Chelsea la sivyo aende zake arabuni ....n.k. hii Chelsea mpya sio Enzi za roman abrahamovic and by the way ligi ya epl iheshimiwe unaweza kuwa proven huko ulipotoka ukaja epl ukasanda ..mfano kina falcao, higuain, lukaku ,Werner , dimaria ,balotelli n.k.Ligi kuu ya uingereza kwa hizi timu top 4/6, kama unataka kucompete vikombe vikubwa huhitaji mchezaji potential , bali proven!!!! Wewe una nwaneri, sijui mainoo, hojlund, Rico Lewis, ama Jackson unasema eti tumvumilie ni potential, hakuna kitu kama hicho kama unataka kushinda unamchukua mtu kazi !
Obama au mendyHatunaga bahati na magolikipa weusi, na ukizingatia amefanana kbs na Onana.
Kakiwasha kweli kweliGusto leo amekuwa na mechi nzuri sana akiwa na France akicheza kama beki wa kulia hakuna mambo ya invented
Kikosi chetu kwa kweli sio kibaya ila gape la mwalimu mchanga ndio linatunyima kuwa contender kwenye mataji makubwa
Vipi na Martinez na ureno yake alimchezesha Julian nevez kwenye role ya inverted fullback na yy ni mwalimu mchanga ?Gusto leo amekuwa na mechi nzuri sana akiwa na France akicheza kama beki wa kulia hakuna mambo ya invented
Kikosi chetu kwa kweli sio kibaya ila gape la mwalimu mchanga ndio linatunyima kuwa contender kwenye mataji makubwa
Unafikiri kwa nini alimtoa baada ya first half? Na impact ya Nico second half ilikuwa sawa na first half? Je Semedo aliendelea kuwa inverted? Baada ya kuingiaVipi na Martinez na ureno yake alimchezesha Julian nevez kwenye role ya inverted fullback na yy ni mwalimu mchanga ?
Lkn kiungo namba 6 kucheza beki ya ya pembeni mbn inafanyika sana na faida yake unaiona pia anaingia kati kusaidia viungo semedo kwenye hiyo mechi aliingia tu sababu Neves alizidiwa tu ujanja na Nico na si sababu ya ukiungo wakeUnafikiri kwa nini alimtoa baada ya first half? Na impact ya Nico second half ilikuwa sawa na first half? Je Semedo aliendelea kuwa inverted? Baada ya kuingia
Then utapa jibu la swali lako
😂Kwani maresca naye si Kuna game tunaona anaanza na approach ya inverted fullback km game ya final na real betis km sikosei na baada ya mapumziko akamtoa malo gusto na kumuingiza James kama hvyohvyo alivyofanya Martinez ...au ni chuki tu kwa maresca??😂...Unafikiri kwa nini alimtoa baada ya first half? Na impact ya Nico second half ilikuwa sawa na first half? Je Semedo aliendelea kuwa inverted? Baada ya kuingia
Then utapa jibu la swali lako
Point yangu ni game reading, silaha ulizonazo pamoja na strength ya opponent huwezi ng'ang'ania approach ambayo unaona fika haiendani na wachezaji wako au inapunguza strength ya wachezaji wakoLkn kiungo namba 6 kucheza beki ya ya pembeni mbn inafanyika sana na faida yake unaiona pia anaingia kati kusaidia viungo semedo kwenye hiyo mechi aliingia tu sababu Neves alizidiwa tu ujanja na Nico na si sababu ya ukiungo wake
Tumuamini hayo mapungufu nadhani atayafanyia kazi na kuwa better zaidiPoint yangu ni game reading, silaha ulizonazo pamoja na strength ya opponent huwezi ng'ang'ania approach ambayo unaona fika haiendani na wachezaji wako au inapunguza strength ya wachezaji wako
Hiyo formation inakupa strength kwenye kushambulia ila inakuexpose kwenye kushambuliwa maana unakuwa umerundika wachezaji katikati, opponent akitanua uwanja ni kisanga
pili ubora wa hiyo formation inahitaji backline nyepesi kurecover na kunusa hatari kitu ambacho hatunacho
Kinachokera zaidi kuna moment unakuta Gusto yupo kwenye box halafu RW yupo pembeni na wakati hana skills za kufunga unategemea nini
Thus why nasema bado kocha hajafikia zile level ambazo anaweza leta ushindani serious kwenye zile mechi za kibabe (sio kwamba ni useless coach) japo ana room ya improvement
Tumuamini hayo mapungufu nadhani atayafanyia kazi na kuwa better zaidi
Takataka gani imesajiliwaNaona timu yangu inazidi kusajili matakataka tu, inasikitisha sana!
Kingine wasajili:-Wamiliki na SDs Wamefanya vizuri zaidi kuliko mabaya.
Wameweza kuwasajili wafuatao:
Nini kingine unataka wawe wema?
- Cole Palmer
- Romeo Lavia
- Marc Cucurella
- Pedro Neto
- Moises Caicedo
- Enzo Fernandez
- Estevao Willian
- Andrey Santos
- Dário Essugo
- Mamadou Sarr
- Geovany Quenda
- Kendry Paez
- Liam Delap
- Mike Penders
Ukiwa na Kocha wenye uwezo mdogo inaenda sambamba na usajili wa wachezaji wenye uwezo mdogo.Naona timu yangu inazidi kusajili matakataka tu, inasikitisha sana!
Ataiwakilisha Palmeiras kwenye CWC baada ya mashindano ndio ataitumikia ChelseaMbona Estevao Wilian simuoni kwenye list ya wachezaji wa World Cup Club Kwa upande WA timu Chelsea.