Hivi angekubali kutua mjini Merseyside, Anfield pale ingekuaje cop? 😂😂Dirisha hili mlipaswa kumuuza caicedo. Hakuna kiungo pale.
Wakununue wwDirisha hili mlipaswa kumuuza caicedo. Hakuna kiungo pale.
Sikubaliani na weweMtalaumu wachezaji mpaka mchoke, tatizo la Chelsea liko kwa Boehly na genge lake lote. Boehly na genge lake toka wameinunua Chelsea plani ama maono yao yako katika biashara ya kununua na kuuza wachezaji.
Ndio maana leo hii Chelsea ina nunua wachezaji wa hovyo kuwahi kutokea hapo kabla. Lengo lao ni kuwaongezea thamani na kuwauza kwa faida hapo baadae. Huyu Boehly hala maono ya Chelsea kuwa mshindani katika michuano inayo shiriki, ilikuwa ni kosa kubwa sana kumuuzia timu yule tapeli.
Chelsea ya sasa kuanzia kocha mpaka wachezaji wote ni matakataka, huo ndio ukweli mtupu ukubali ama ukatae utajua wewe.
Huyo bado anasumbuliwa na wenge la kuwanyang'anya Caicedo, atamchafua anavyotaka ila kelele za mlango hazimnyimi Caicedo usingiziHivi angekubali kutua mjini Merseyside, Anfield pale ingekuaje cop? 😂😂
Madueke nimeacha kumfagilia, akili yake kama ya papai au avokadoKocha uwezo mdogo
View attachment 3215128
Unajua hawa wamiliki wanataka waue ndege kwa jiwe moja. Wanataka kuwa kama Brighton kwa kununua chjipukizi na kuwauza bei ya juu lakini hapo hapo watengeneze timu ya kubeba makombe baada ya miaka 3-5. Sasa si9si mashabiki kwa vile sio wawekezaji hatuna habari na hilo lengo la kufanya biashjara ya faida. Sisi tunachojali ni kubeba makombe asubuhi kama ilivyo desturi ya Chelsea kitu ambacho hakityawezekana. Tuwe wavumilivu hadi 2026/27 ndipo tuanze kuwaza makombe hata yale ya mbuziTangu mwanzo timu imenunuliwa nilisema management ni mbovu katika uendeshaji wa timu.
Huwezi kununua Toyota vits ukataka ikimbie kama Subaru, uliona wapi?
Hiyo vits hata uibadilishe rims, ufunge mziki mzigo, maspoila, uandike ubavuni subaru evolution 12 bado spidi yake itabaki ile ile ya vits.
Wamiliki + SD Walitusajilia wachezaji kibao vits, matokeo yake mtaishia kutoa lawana kila siku, mkitaka wawe Subaru.
Kocha mwenyewe ni Engine ya kicarry iliyofungwa kwenye Fuso (The Blues).
Ukimwambia akwambie kule alikua anafanya nini? Cjui atasema nini?Madueke nimeacha kumfagilia, akili yake kama ya papai au avokado
Adui wetu wa sasa ni Sporting Directors hawa ndio wanaotuweka hapa tulipoKama Maresca amewasilisha mahitaji ya wachezaji kwa hizo nafasi hapo sawa tupo nyuma yake. SD"s ndio maadui wetu kwa sasa
Sporting directors ndio wanampanga Sanchez kila siku golin?Adui wetu wa sasa ni Sporting Directors hawa ndio wanaotuweka hapa tulipo
Mashabiki wengine wanaamini kuwa Kocha wa Makipa, Ben Roberts ndiye mwenye shinikizo la Sanchez kuwa golkipa namba 1.Sporting directors ndio wanampanga Sanchez kila siku golin?
Nani aliyemsajil ???? Kipq anasajiliwa ashapoteza namba kwa team km brighton kwa sabab ya makosa yakeSporting directors ndio wanampanga Sanchez kila siku golin?
Nikurekebishe mkuu.Nani aliyemsajil ???? Kipq anasajiliwa ashapoteza namba kwa team km brighton kwa sabab ya makosa yake
Ondoa Borenamouth wao wako vizuriThe Blues kwa sasa haina tofauti na Brighton, Bournemouth. Imekuwa timu ya daraja la kati kiushindani. Imekuwa timu ya kusaka vipaji kununua na kuuza kwa faida.