Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Mbona Man City jana hiyohiyo walishinda wakiwa nusu kwa dakika 80?...Duh!!!! Kweli mmenikomalia! Yani kila Mahali Ntuzu Teh Teh Teh Teh Teh
Chelsea tuna tisha! Yani mpk tuwe nusu ndio tufumgwe??!
Naona mmefurahi sn!
Leo mko na game nyie msiongee sn! Tuongee usiku baada ya game!
Mbona Man City jana hiyohiyo walishinda wakiwa nusu kwa dakika 80?...
Kubali kushindwa Nkwingwa...
Na alifuta machozi
Duh!!!! Kweli mmenikomalia! Yani kila Mahali Ntuzu Teh Teh Teh Teh Teh

Rafiki Nashukuru sn!

Muwe nusu ndio mfungwe!? We huoni aibu wanatolewa wachezaji wawili na kocha wao katika mechi ya Aston Villa!!?
By the way jion ilifika na sasa ni asubuhi watu wamechukua point zao 3 muhimu.
teh teh teh teh teh! Kumbe upo? Naona baada ya kuanua matanga umeamua kuonekama teh teh teh teh!
Mkuu mi nipo always!
Pole sana. Aston Villa got you twisted!
Asante! Ila hao gunners wambie waje vzr Hiyo weekend ijayo!
Mkuu mi nipo always!
Nat always mkuu. Hukupata kuonekana hapa siku ya Jumamosi.