Hatuna mabeki wenye uwezo wa kukuwin mipira ya juu, timu nzima pia sio nzuri kwenye kuwin duelsSiwez mlaum petrovic japo pale alifanya kosa ila Jins tunavyocheza 2nd half na how we defend hapo ndipo maswali yanapokuja
Jay rodriguez ametukosa mwishon akahit cross bar
Jins tunavyojilinda hapo ndipo maswal yanapokuja
Mtabadilisha makocha sana...as long as star wenu ni Sterling basi nafasi mlizopo mzizoee rasmi🤠🤠We need Hans Flick
Vimo havichezi sema timu haina muunganiko tuUfupi, kuna siku nilisema hapa, timu ni ya 18 EPL kwa kuwa na wachezaji warefu au kwa maneno mengine timu ni ya tatu EPL kwa kuwa na wachezaji wafupi
Mtatafuta kila sababu hahahaaaaaVimo havichezi sema timu haina muunganiko tu
Vimo vinasehemu yake ndugu kwenye mpira. Usajili haukujali hilo, wachezaji watakaofuata wawe na vimo hasa CB na StrikerVimo havichezi sema timu haina muunganiko tu
Lembu, Acha masiraha Huyo injury prone Reece James unamuuzia nani £ 50ml ???Confirmed
Chelsea wanapanga kuwauza Reece James na Conor Gallagher msimu huu wa majira ya joto
Klabu inataka kuingiza zaidi ya pauni milioni 100 katika mapato ya ziada ili kuepuka kukiuka Kanuni za Faida na Uendelevu za Ligi Kuu (FFP).
Pia hawa watauzwa
- Conor Gallagher = £50
- Reece James = £60
- Ian Maatsen
- Trevoh Chalobah
- Lewis Hall
- Armando Broja
- Romelo Lukaku
- Hakim Ziyech
- Kepa
- Sterling
Hiyo tofauti ndogo sana haina athari,kama timu inaleta matokeo mazuri,ukitaka kuamini kwenye hilo Chelsea inafungwa zaidi magoli ya miguu na sio vichwaVimo vinasehemu yake ndugu kwenye mpira. Usajili haukujali hilo, wachezaji watakaofuata wawe na vimo hasa CB na Striker
Nimemuoa leo Enzo akijitahidi kumpiga Dara O'Shea kwa matako
Enzo urefu wake 1.78m wakati Dara ni 1.85m kwa mfano tu
Puuza hizi habar za Duncan CastlesConfirmed
Chelsea wanapanga kuwauza Reece James na Conor Gallagher msimu huu wa majira ya joto
Klabu inataka kuingiza zaidi ya pauni milioni 100 katika mapato ya ziada ili kuepuka kukiuka Kanuni za Faida na Uendelevu za Ligi Kuu (FFP).
Pia hawa watauzwa
- Conor Gallagher = £50
- Reece James = £60
- Ian Maatsen
- Trevoh Chalobah
- Lewis Hall
- Armando Broja
- Romelo Lukaku
- Hakim Ziyech
- Kepa
- Sterling
Panga la FFP inaweza ikalazimisha hilo, kama sio msimu huu, msim u ujao tusipokaa sawa tutapigwa hadi points 15 ambazo zinaweza kutuweka pabaya kwenye ligiPuuza hizi habar za Duncan Castles