Wapi nimesema kocha hahusiki kwenye mazoezi? Nimesema anasimamia kile ambacho makocha wa viungo wanaelekeza.FYI. sisemei poch anahusika ila nataka nikupinge unaposema kocha hausiki katika mazoezi.
Chelsea ilishapeleka taarifa ya kutopata taarifa sahihi ya matumizi hasa kwenye mauzo ya Hazard kutoka Lille kuja Chelsea. Hivyo kwa namna fulani hiyo ni kinga ya rungu ambalo tungetandikwa kwa sababu tayari taarifa wanazo.Chelsea wanakabiliwa na adhabu ikiwa ni pamoja na kukatwa pointi au kufukuzwa katika Ligi Kuu ya Uingereza iwapo watapatikana na hatia ya kukiuka sheria za matumizi chini ya umiliki wa Abramovich.
@ByRobDavies '
@JacobSteinberg
Nenda katafute Gacon Test ujue nani anaefanya hayo mazoezi ni kocha wa viungo au ni pochWapi nimesema kocha hahusiki kwenye mazoezi? Nimesema anasimamia kile ambacho makocha wa viungo wanaelekeza.
Hakuna sehemu nimesema kocha hahusiki kwenye mazoezi
Nilisema sana kipindi kile baada ya poch kuondoka• We don’t need a new ST, we need Nagelsmann
• We don’t need a new LW, we need Nagelsmann
• We don’t need a new CB, we need Nagelsmann
• We don’t need a new GK, we need Nagelsmann
Chelsea NEED Julian Nagelsmann — 𝙉𝙖𝙜𝙚𝙡𝙨 is your 𝙢𝙖𝙣𝙣, @todd_boehly
By
@VdykCFC
Hiyo tabia anayo pia Antonio Conte ana kawaida ya kuwafanyisha wachezaji mazoezi maalumu mostly kwenye pre season. Mara nyingi huwa kuwatoa wachezaji kwenye mapumziko na kuwarudisha mchezoni haraka.Nenda katafute Gacon Test ujue nani anaefanya hayo mazoezi ni kocha wa viungo au ni poch
Mkuu haya mazoezi yanafanyika mara kwa mara, na kwa upande wa Pochettino sio rafiki kwa baadhi ya wachezaji na kwa wengine inapelekea kuwa na matatizo ya mara kwa mara ya misuliMkuu nimeisoma hiyo Test ambapo nimegundua ni mazoezi ya kawaida hasa mwanzo wa msimu hayafanyiki kila mara.
Hiyo tabia anayo pia Antonio Conte ana kawaida ya kuwafanyisha wachezaji mazoezi maalumu mostly kwenye pre season. Mara nyingi huwa kuwatoa wachezaji kwenye mapumziko na kuwarudisha mchezoni haraka.
Hayo mazoezi ni yakawaida kabisa na wanafanya wachezaji wote
A number of Tottenham players have privately expressed concerns that Mauricio Pochettino's energy-sapping training sessions have contributed to the club's lengthy injury list.Mkuu nimeisoma hiyo Test ambapo nimegundua ni mazoezi ya kawaida hasa mwanzo wa msimu hayafanyiki kila mara.
Hiyo tabia anayo pia Antonio Conte ana kawaida ya kuwafanyisha wachezaji mazoezi maalumu mostly kwenye pre season. Mara nyingi huwa kuwatoa wachezaji kwenye mapumziko na kuwarudisha mchezoni haraka.
Hayo mazoezi ni yakawaida kabisa na wanafanya wachezaji wote
Mkuu mbona hata maelezo ya hiyo video ni programme ya wiki mbili mostly ni kati pre season. Hii inaweza kuwa baada ya wachezaji kutoka likizo ndefu au inaweza kuwa baada ya kurudi kutoka likizo fupi katikati ya msimu.Mkuu haya mazoezi yanafanyika mara kwa mara, na kwa upande wa Pochettino sio rafiki kwa baadhi ya wachezaji na kwa wengine inapelekea kuwa na matatizo ya mara kwa mara ya misuli
Kule Southampton, Spurs na hata PSG alikuwa akifanya na baadhi ya wachezaji hawakuipenda
Na mazoezi sio tu Gaco Test pia kuna other several hard drill excercises
Sisemi haya mazoezi ni mabaya ila mara nyingi kwa wachezaji hasa wale ambao ni injury prone haya mazezi huwapa majeraha ya mara kwa mara. mfano mzuri ni Reece James
Kuna baadhi ya wachezaji wanaamua kukimbia kabisa uwanja wa mazoezi
May be sasa lile suala la Pochettino kuwa na wachezaji wake watakaofit kwenye falsafa yake na aina ya mazoezi yake ni muhimu na kama uongozi hawako tayari kumpa huo uhuru maana yake Poche hatafanikiwa akiwa kocha wa Chelsea.
View: https://www.youtube.com/watch?v=DXoH1wX6SNI
Mkuu mbona hata maelezo ya hiyo video ni programme ya wiki mbili mostly ni kati pre season. Hii inaweza kuwa baada ya wachezaji kutoka likizo ndefu au inaweza kuwa baada ya kurudi kutoka likizo fupi katikati ya msimu.
Hiyo video ni ilustration tu, mazoezi yanafanya mara kwa mara, kiingereza wanatumia neno Intermintent, using'ang'ane na pre season. Halafu sio Poche tu anatoa mazoezi magumu, kwa hiyo usimtete sanaA number of Tottenham players have privately expressed concerns that Mauricio Pochettino's energy-sapping training sessions have contributed to the club's lengthy injury list.
Spurs training 'too hard' but Pochettino unwilling to relent| All Football
A number of Tottenham players have privately expressed concerns that Mauricio Pochettino's energy-sapping training sessions have contributed to the club's lengthy injury list.m.allfootballapp.com
Sikatai kama tulikuwa tuna injury safari hii ni kama zimezidi sana kuliko hata mwanzoniMkuu mbona hata maelezo ya hiyo video ni programme ya wiki mbili mostly ni kati pre season. Hii inaweza kuwa baada ya wachezaji kutoka likizo ndefu au inaweza kuwa baada ya kurudi kutoka likizo fupi katikati ya msimu.
Hata mimi nimempa link wachezaji wa Spurs wakilalamika kuhusu mazoezi ya Pochettino yanayosababisha majeruhi kuongezeka na sidhani kama ameisoma kwa vile inakinzana na dhana yake kuwa Pochettino hausikiSikatai kama tulikuwa tuna injury safari hii ni kama zimezidi sana kuliko hata mwanzoni
Pitia hii link
Can Mauricio Pochettino's Tottenham cope with the injuries?
Tottenham are fourth in the Premier League tablewww.skysports.com
Idara ya matibabu ichunguzwe, labda hawamsaidii kocha ktk kupunguza haya majeraha. Hawafanyi kazi yao kitaaluma, kwa nini waruhusu mchezaji kucheza wakati hajapona kwa 100%Romeo Lavia kwa bahati mbaya atakosa sehemu iliyosalia ya kampeni ya msimu wa 2023-24 kufuatia kuumia tena katika mchakato wake wa kupona..
Tathmini za hivi majuzi za kimatibabu zimethibitisha kwamba Lavia, ambaye alipata jeraha kubwa la paja dhidi ya Crystal Palace mnamo Desemba, hataweza kuchezea Chelsea tena hadi msimu huu uishe.
View attachment 2946164