juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Atleast naona huku kwenye mpira wa wanaume haijawa kivile kama mpira wa wanawakeHawa washenzi kila mahali wanaweka watu wao. Mimi ni mdau mkubwa wa movies aidha series au singles ila nikaamza kukutana na haya mambo mpaka sasa nimebaki kuchagua movies kwa sababu kuna minjemba haiwezi kukubali ufirauni kama Denzel Washington, Jason Statham, Liam Smith n.k
Ila sasa wanakuja kwenye mpira kwa kasi nashindwq kuelewa huko mbele itakuaje hasa haya mambo yakishafika Africa kwa kufanyika hadharani hasa kwenye michezo
Mdau,,,poch amepewa team mpya kalibia first eleven nzma ni maingizo mapya sasa unamlaumu katika angle ganTungekuwa na kocha mzuri tusingekuwa hapa tulipo,
AlaaaaahNimeona bendera kubwa zenye rangi ya upinde zinapeperushwa uwanjani.
Ndio maana wachezaji wetu majeruhi hawaponi, tunalaumu madocta bure kumbe ndani yake kuna ushoga, ushoga na majeruhi haviendani kabisa.
Angle ya maamuzi, kimbinu,favouritism etcMdau,,,poch amepewa team mpya kalibia first eleven nzma ni maingizo mapya sasa unamlaumu katika angle gan
Mpigaji wa penalty ni PalmerHivi inakuaje mpaka sasa Poch ajaamua mpigaj penalt wetu..
Ndio maana tunasema Pochettino ni gaidi la sokaExperience🤣🤣🤣🤣🤣
Yani mda anaopewa Sterling naamini wangepewa Madueke na Mudryk naamini wangekuwa muendelezo mzuri
Sterling hata acheze mechi 10 mfululizo vubaya bado Poch ataendelea kumpanga
Wachezaji wetu Bado wanajitafuta,,,Angle ya maamuzi, kimbinu,favouritism etc
Na team ameanza nayo kuanzia pre season msisahau hilo
Mimi navuta pumzi tu, hawa wadhungu ni wajinga sanaKuna wakati nataman niache kabisa kufatilia michezo
Maamuzi ya Kocha ndiyo tunazungumziaWachezaji wetu Bado wanajitafuta,,,
Usitake kuniaminisha kwamba pale Kuna mchezaji poch anashindwa kumtumia kama wapo wataje,,
Sometimes makosa sio ya MWALIMU ni aina ya viwango walivyo navyo wachezaji wetu
Bora tumludishe g.potterMaamuzi ya Kocha ndiyo tunazungumzia
Wachezaji wanabehave kulingana na kocha waliye naye
Akiwepo kocha asiyeremba na kubembeleza huwezi kuona mambo kama haya yakitokea
Huyu bwege abacheka na hao watoto na wanamfanya kama mjomba, hapo utategemea wajitume saa zote???
Taratibu utamuelewa pochLeo sub ya huyu kilaza imefanya kazi vizuri
Kabahatisha au ndio anaanza kujifunza kitu
Chukwuemeka 76’ Madueke 83’
Chukwuemeka 90+2 ’Madueke 90+
Kuna game sijui ni ya city sterling alitaka kupiga ikabid enzo aingilie kati na kuamua Palmer apigeMpigaji wa penalty ni Palmer
Mashabiki wanamlaumu Palmer kwa kukubali kumpa kwa sababu Replay inaonyesha kuwa Palmer alishabeba mpira kupiga Sterling akamuomba akampa kirahisi
Pia mashabiki wegi wanamlaumu kapteni kutoingilia kati ndio kazi yake, Gallagher sijui ukapteni wake ni wa nini hasa
Makosa ni ya mwalimuWachezaji wetu Bado wanajitafuta,,,
Usitake kuniaminisha kwamba pale Kuna mchezaji poch anashindwa kumtumia kama wapo wataje,,
Sometimes makosa sio ya MWALIMU ni aina ya viwango walivyo navyo wachezaji wetu
hata tucheze na man utd yani poch kama bado ni kocha tegemea yale yale kwenye leagueMungu saidia nyumbu ashinde tucheze naye nusu fainali.
Liverpool hapana tena watatufanya kitu mbaya, hatuna bahati ya kuwafunga
Pochettino akielezea Palmer kumruhusu Sterling apige penalti hiyo:Kuna game sijui ni ya city sterling alitaka kupiga ikabid enzo aingilie kati na kuamua Palmer apige