Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo mpaka Kukulela nae kafunga [emoji38][emoji38][emoji38]
Shida yenu nyinyi wavaa blauz wa London pamoja na sisi nyumbu ni katika suala la kushikilia bomba, kipindi cha pili utashangaa goli zote 2 zimerudi na kuongezwa la 3 kama kifungashio.
 
Hakuna kitu kama hchoo
 
Unfortunately, mapenzi ya jinsia moja yamejaa sana kwenye soka la wanawake. Hata sisi Arsenal tuna shida hiyo. Vivienne Miedema alikuja Arsenal kutoka Bayern Munich kwa sababu demu wake alitangulia kuja, akamfuata. Baadae demu wake akaondoka Viv akachukuana na Lisa Evans. Lisa akaondoka, Viv sasa amechukuana na Beth Mead.

Man United women walipitia hayo pia walipowaleta Tobin Heath na Christen Press. Sijui story yao iliishaje ila Tobin alihamia Arsenal.
 
Nawategemea mumpige Arsenali sasa kwa mpira huu mtaweza kweli mbona mnanipa wasiwasi Aiseee? Lecester wanachomoaje aiseee
 
Kikubwa nilichogundua ajenda kuu ya soka la Ulaya ni kupromote Ushoga na Usagaji, ni vile niko addicted tu na burudani ya soka.
Ila hawa wazungu malengo yao makuu kwenye hizi burudani ni kumpigia deki Mpinga Kristo barabara zote ili aje kupita kwa nafasi akiwa na wafuasi wakutosha.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…