Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 666
- 1,267
Huyo Badiashile siku hizi amekuja kuwa mduanziVS CITY - Twende na ulinzi shirikishi 3-4-3
---- PAPARAZI --- NKUNKU --- PALMER----
CHIL ---- ENZO ---- CAICEDO ----- GUSTO
---- BADIASHILE --- SILVA --- DISASI ------
HallandHivi ukiambiwa upange combined lineup kati ya Man City na Chelsea unaweza weka wachezaji gani kwenye lineup yako?
Jamaa hawana LBHalland
Foden
Palmer
Bernado
KDB
Rodri
Chilwell
Ake
Diaz
Walker
Pep Guardiola: "Chelsea ni bora sana katika kila idara".
"Utakuwa ni moja ya michezo migumu hadi mwisho wa msimu".
"Wana kila kitu: makali, ubora, na uwezo wa kukaa na mpira. Ni vigumu kupata mchezaji wa Chelsea ambaye anapoteza mpira”.
[Kupitia@FabrizioRomano]
VS CITY - Twende na ulinzi shirikishi 3-4-3
---- PAPARAZI --- NKUNKU --- PALMER----
CHIL ---- ENZO ---- CAICEDO ----- GUSTO
---- BADIASHILE --- SILVA --- DISASI ------
Leo kuna harufu ya kupokea kipigo cha mbwa koko hii timu ya kuunga unga
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Siyo kwa Chelsea hii 🔥🔥Leo kuna harufu ya kupokea kipigo cha mbwa koko hii timu ya kuunga unga
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
palmer hapati namba city wwHalland
Foden
Palmer
Bernado
KDB
Rodri
Chilwell
Ake
Diaz
Walker