Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 666
- 1,267
Mashabiki wa The Blues pale London wangekuwa na -ve mind kama za hapa, ungekuta walishachoma ofisi za club na walishamuua Poche na Sterling.Wengine hata hiki kidogo hawakioni wanachojua wao ni kulaumu tu huku baadhi wakiamini tunapata ushindi kwa juhudi binafsi za wachezaji. Hakuna positivity kwa bench wanachojua ni kulaumu tu
dk ya 45 kamili kutoka kwa GallagherMkuu kama hujaangalia mpira better usiongee chochote especially kipindi cha kwanza
Huwezi miliki mpira 80% halaf attempt ni moja tu tena off target iliyokuja dakika ya 40s
Mkuu mi najua nini nachokiandika hapa. Najua sikuangalia ila nachoandika hapa ni fact haijalishi sikuangalia otherwise uamue tu we mwenyewe kupuuza.Wewe chief hukuangalia mechi ni bora usikoment ukaingia ndani sana. Furahia points 3 inatosha, tumecheza jana kama watoto wa mtaani
Tukikutana na City na huu utani wa Pochettino wa jana tutatumbuliwa hadi usaa wote utoke
Mkuu kazi ni kubwa si mchezo. Sisi huku ndio wajuaji sasaMashabiki wa The Blues pale London wangekuwa na -ve mind kama za hapa, ungekuta walishachoma ofisi za club na walishamuua Poche na Sterling.
Hapo hakuna facts hata kidogo, ukiambiwa ukweli unakwepa. Kule Twitter kuna wachambuzi wanaojua mpira na kuna waliokuwa wanamtetea Pochettino hadi inachefua, ila sasa wamelainika. Wanachosema Jana timu haikuandaliwa full stop. Kajitutumua kipindi cha pili tukabahatisha kwa vile ilikuwa ni Palace katika ubovu wao. Hakuna jambo la kuremba hapa. This coach is not Chelsea levelMkuu mi najua nini nachokiandika hapa. Najua sikuangalia ila nachoandika hapa ni fact haijalishi sikuangalia otherwise uamue tu we mwenyewe kupuuza.
Sterling jana hakuanza, Chilwell captain, Gallagher kaweka mbili kambani. Madueke bado hali ni ile ile.
Mkuu hutaki ku admit kwamba timu ilionyesha ubora mpaka kufikia Palace kushindwa kufanya vizuri, unaishia kusema Palace walikua katika ubovu wao.Kajitutumua kipindi cha pili tukabahatisha kwa vile ilikuwa ni Palace katika ubovu wao. Hakuna jambo la kuremba hapa.
Kocha wa kubahatisha sio size ya ChelseaMkuu hutaki ku admit kwamba timu ilionyesha ubora mpaka kufikia Palace kushindwa kufanya vizuri, unaishia kusema Palace walikua katika ubovu wao.
Ndio maana kuna siku nilikwambia unaongea nadharia tu kwa sababu ya hisia zako kwa wakati husika.
Ni sahihi kabisaKocha wa kubahatisha sio size ya Chelsea
Mlimfukuza TT mkaleta wabahatishaji Porter, Lampard na Poche. Tuendelee kulalamika wakati tunasuburia kuletewa kocha mwingine mbahatishaji.Kocha wa kubahatisha sio size ya Chelsea
SAsa ninaposema wakati mwingine waxhezaji nao wanachangia muwe waelewa. Sina hakika kama Poch anafundisha kumiliki mpira kwa asilimia 79 halafu awafundishe na kupifa off target.
Point yangu ilikua inamaanisha wakati mwingine coach analaumiwa kwa makosa ya wachezajiKwamba unataka kusema wachezaj ndio wanaoamua kucheza hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani kama wanaamua kucheza hivyo basi mpaka sasa hiv poch asingekuwepo hapo maana wachezaj hawamtaki mpaka wanaamua kucheza watakavyo.
If wachezaji wangekuwa wanacheza wanavyotaka basi hata second half wasingebadilika mkuu
Point yangu ilikua inamaanisha wakati mwingine coach analaumiwa kwa makosa ya wachezaji
Ndio maana nikakuuliza tuliweza kumiliki mpira kwa 79% bila on target nayo ni maelekezo ya kocha?45mins useme ni makosa ya wachezaji. Wachezaj wanafata maelekezo ya mwalim na ndio maana ukiangalia uchezaji wa caicedo n enzo katika game ya villa na jana nitofauti
Gap kubwa ndio zuri mchezaji anacover eneo kubwa, anavuja jasho anakula mshahara kihalali.45mins useme ni makosa ya wachezaji. Wachezaj wanafata maelekezo ya mwalim na ndio maana ukiangalia uchezaji wa caicedo n enzo katika game ya villa na jana nitofauti
Katika game ya Villa, enzo na caicedo walikuwa wako karibu sana baina yao na distanc ya mabek na viungo ma viungo na washambuliaji haikuwa kubwa
Ila jana kulikuwa kuna gap kubwa kila mahali
Wasipoelewa wachanganyie mafilePoint yangu ilikua inamaanisha wakati mwingine coach analaumiwa kwa makosa ya wachezaji