Chelsea wana misimu miwili mfululizo hawajawahi kushinda at the Hawthorns, huwa wanachapwa tu na hii match ishawacost makocha wawili vibarua vyao, AVB na De Matteo
Chelsea defense is rubbish without JT and David Luiz is a huge liability at the back
Mourihno leo kawaangusha sana na Sub zake...Torres bado hayupo fit kabisa..nafkiri labda mngekuwa mnaongoza 3-0 ningeelewa uamuzi wa kumtumia...
Pia ni kama mliridhika na goli 1 na kumuingiza Obi na kumtoa Oscar..
Ila jamaa walicheza vizuri pale katikati hasa baada ya kuingia Mulumbu...
hahaha lakini lile goli mkuu nahisi kama kipa nae anahusika maana kama alikuwa anataka autokea akaucheze ule mpira alafu ghfla akasita na kumuachia forward akipiga kichwa.
Ukimuacha Matic, Ivanovic na Azplicueta, the restwamecheza hovyo hovyo including the manager
hahaha lakini lile goli mkuu nahisi kama kipa nae anahusika maana kama alikuwa anataka autokea akaucheze ule mpira alafu ghfla akasita na kumuachia forward akipiga kichwa.
na meneja amecheza nafasi gani?:evil:
Davis Luiz huwa mara nyingi sipendi akicheza beki maana mpaka mpira ukiisha bila kusababisha gori ajisikii raha, Awe anakaa bench tu au match zile ngumu acheze palepale katikati huku nyuma bana anaharibu sana aaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhh,,,,,hata tukimuombea njaa arsenal, kesho man city lazima apite na itakuwa vigumu sana kumtoa pale akikaa
gori?? hahaaaa tulieni dawa iwaingie maana mna mdomo sana
Mi hata siongei na hivi niko safarini hata picha siweki...
kuna mnyaNtuzu mmoja hapa nilimwambia huwa wanakazia timu kubwa ndogo wanalegeza..
Chezea mulumbu,utalia kwa kuvuta kamasi bila machozi!Mourihno leo kawaangusha sana na Sub zake...Torres bado hayupo fit kabisa..nafkiri labda mngekuwa mnaongoza 3-0 ningeelewa uamuzi wa kumtumia...
Pia ni kama mliridhika na goli 1 na kumuingiza Obi na kumtoa Oscar..
Ila jamaa walicheza vizuri pale katikati hasa baada ya kuingia Mulumbu...
kuna mnyaNtuzu mmoja hapa nilimwambia huwa wanakazia timu kubwa ndogo wanalegeza..
gori?? hahaaaa tulieni dawa iwaingie maana mna mdomo sana
Hatujafungwa Jana! Tumetoka sare!
Tunakuja etihad jiandae vzr!
hahaaaa wataelewa tu maana wakishinda wanakuwaga wapana humu jukwaani mpaka basi...sasa jana wametulizwa
hahaaaa wataelewa tu maana wakishinda wanakuwaga wapana humu jukwaani mpaka basi...sasa jana wametulizwa