We kuna siku man u wakikujua watakumwagia tindi kali wallah 😂😂😂😂😂 sio kwa hizo spana. wamekukosea nn?Nipo kiongozi ,as Mchambuzi nguli tunakutana na changamoto ngumu katika kazi yetu
Moja ya kazi ngumu Ni kuichambua manjesta ya tapeli 7hag
Tupo na jopo la wachambuzi hapa tunahangaika kujua manjesta wanacheza brand gani ya football
View attachment 2790116
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa ule mpira wa manjesta against kina Sheffield, Burney unaona Kuna mwaga?We kuna siku man u wakikujua watakumwagia tindi kali wallah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa hizo spana. wamekukosea nn?
Hatimaye Mungu ametufuta machozi, ametupatia fundi mwingine darajani. View attachment 2789923
Nipo kiongozi ,as Mchambuzi nguli tunakutana na changamoto ngumu katika kazi yetu
Moja ya kazi ngumu Ni kuichambua manjesta ya tapeli 7hag
Tupo na jopo la wachambuzi hapa tunahangaika kujua manjesta wanacheza brand gani ya football
View attachment 2790116
Palmer ndiye alitangazwa MOTM game na ArsenalHatimaye Mungu ametufuta machozi, ametupatia fundi mwingine darajani. View attachment 2789923
Kwamba Nketiah, Nunez, Rashford, mitoma hawajafunga goli msimu huu? Hivi Mashabiki wa kenge mnavutaga bhangi gani?Sijafurahi kbs kusuluhu, ila nimefurahi kijana mudryk kuwafunga hao kondoo, washike adabu yao. Sasa ndio mwendo kila tukikutana kijana mudi awachezee makalio.
Mwezi october
View attachment 2790753
Wapende wasipende, baada ya january, wapinzani wetu itabidi wachague wakutane na timu ipi
View attachment 2790296
Lakini hilo ndio soka. Muda mwingine Kocha unafanya sub ukiamini utabadili kitu. Muda mwingine unafanikiwa muda mwingine haufanikiwi, wachezaji wanatakiwa kuwa tayari muda wote.Kocha boya asingetakiwa afanye sub, kama jackson alimuingiza ya nini kupress hapress, madueke pia aliingia wa nini? Kutuonyesha rasta au?
kondoo usipaniki, najua inauma kijana aliyewakataa ameanza kurudisha chenchi ya hela. tena dhidi yenu.Kwamba Nketiah, Nunez, Rashford, mitoma hawajafunga goli msimu huu? Hivi Mashabiki wa kenge mnavutaga bhangi gani?
Aongeze gym kidogo , mwepesi sanaTia neno moja au mbili kuhusu huyu kijana
View attachment 2791379
Tia neno moja au mbili kuhusu huyu kijana
View attachment 2791379
Umeona Goli la Martinelli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa sawa ndugu mchambuzi vipa mechi yenu ya kesho hujaleta jinsi Martineli atakavyowaua sevila pamoja na partey na Ode watakavyo wanyanyasa mido ya Sevila