Hao unawazungumzia kina Shaffih dauda, Ally mayai tembele, Wilson oruma , Maulid kitenge, na wanaofanana na hao, hawa wajasomea popote uchambuzi Ni makanjanja tu ,mwisho wa siku kumbuka kuwa uchambuzi ni mawazo ya mtu ambayo pia yanaweza endeshwa na hisia za mtu binafsi
Kutufunga chelsea kwenu ni sherehe maana tumewazidi pakubwa history inaongeaThe International Break is finally over [emoji91][emoji95]
Few days more to thrash Chelsea and make it 4 wins in a row at Stamford Bridge.
KWA SABABU CHELSEA IN HIZI SIFA WAO HAWANA:Kutufunga chelsea kwenu ni sherehe maana tumewazidi pakubwa history inaongea
Wahenga walisema'Mavi ya kale hayanuki' kiuhalisia chelsea inayoenda kucheza tar 21 oct,dhidi ya ARSENAL sio hiyo unayoizungumzia hapa....amka katika usingizi mzito,chelsea hii haina JOHN TERRY ,FRANK LAMPARD wala DIDIER DROGBA....chelsea hii ina Raheem mbovu na sio EDEN HAZARDKWA SABABU CHELSEA IN HIZI SIFA WAO HAWANA:
View attachment 2785275
- Klabu ya pili ya Uingereza yenye mafanikio katika mashindano ya Ulaya baada ya Liverpool.
- Klabu ya mwisho ya Uingereza kushinda Kombe la Dunia la Vilabu.
- Timu ya kwanza ya Uropa kufuzu kwa Kombe la Dunia la Vilabu la 2025.
- Klabu pekee katika historia kushinda mataji yote makubwa ya Uropa mara mbili (kabla ya Conference League).
- Klabu pekee ya London kushinda Ligi ya Mabingwa.
- Klabu ya kwanza katika historia kushinda Ligi ya Europa bila kupoteza mchezo.
- Klabu iliyo na rekodi bora zaidi ya ulinzi katika ligi 5 bora za Uropa.
- Klabu iliyo na rekodi bora zaidi ya ulinzi kwa timu iliyoshinda Ligi ya Mabingwa.
- Klabu pekee kuwahi kushikilia mataji ya Ligi ya Mabingwa na Ligi ya Europa kwa wakati mmoja.
Hamna kitu ninyi ya kutufanya tuwe mavi ya kale na wewe unajua. Kuwa wa pili kwenye ligi msimu uliopita haiwafanyi ninyi muanze kutukana hivi, mnatukosea adabu mabingwa wa dunia. Shindwa kabisaWahenga walisema'Mavi ya kale hayanuki' kiuhalisia chelsea inayoenda kucheza tar 21 oct,dhidi ya ARSENAL sio hiyo unayoizungumzia hapa....amka katika usingizi mzito,chelsea hii haina JOHN TERRY ,FRANK LAMPARD wala DIDIER DROGBA....chelsea hii ina Raheem mbovu na sio EDEN HAZARD
We kondoo unajipa matarijio makubwa kuliko uhalisia. Angalia usije ukajinyonga shegkheNimevaa uhusika Kama shabiki wa Chelsea ,nimegundua jumamos hatutoki tunajifariji tu
Nimegundua tunahitaji kuwa makini dakika zote 90 ,tusifaye makosa ,lasivyo half time Arsenal wanaweza kutupiga 3-0
Nijinuonge kwa sababu ya kiungo Cha kina Ghaladog?[emoji1787][emoji1787]We kondoo unajipa matarijio makubwa kuliko uhalisia. Angalia usije ukajinyonga shegkhe
Tutawaburuza bila huruma hiyo jumamosi , we jipe moyo tuNijinuonge kwa sababu ya kiungo Cha kina Ghaladog?[emoji1787][emoji1787]
Hastahili kuichezea Arsenal. Mchezaji hafikishi mechi 10 msimu mzima, muda wote yupo hospitali.
"Reece James when asked to stay fit for 10 minutes"Hastahili kuichezea Arsenal. Mchezaji hafikishi mechi 10 msimu mzima, muda wote yupo hospitali.
Kenge wanasajili wachezaji wa kushinda hospitalHastahili kuichezea Arsenal. Mchezaji hafikishi mechi 10 msimu mzima, muda wote yupo hospitali.
Hakuna anayemfikia hata kwa ukaribu kwa ubora hapo arsenal.Hastahili kuichezea Arsenal. Mchezaji hafikishi mechi 10 msimu mzima, muda wote yupo hospitali.
Reece James man has played 7 games against Arsenal lost 6 and won 1, there is nothing here blud [emoji23]Hakuna anayemfikia hata kwa ukaribu kwa ubora hapo arsenal.
Ukiacha ushabiki utaelewa ukweli hakuna Fb wenu anayemfikia hata kidogoReece James man has played 7 games against Arsenal lost 6 and won 1, there is nothing here blud [emoji23]
Tunamtaka jumamos kwa mchakamchaka wa Martinelli,huyu hamalizi dk 45, tupo hapa ,lazima arudishwe wodini
Hamstring lazima imkamate tu
Arsenal is nothing to chelsea.sisi tutarudi na tutashinda makombe ya maana Kabla yenu.Reece James man has played 7 games against Arsenal lost 6 and won 1, there is nothing here blud [emoji23]
Tunamtaka jumamos kwa mchakamchaka wa Martinelli,huyu hamalizi dk 45, tupo hapa ,lazima arudishwe wodini
Hamstring lazima imkamate tu
Huyu dogo kinachomharibia career yake ni majeruhi ,huyu atakuwa Jack wilshere type 2 .