Yah na ndio hichi kitu ambacho nawaambia wanaoifananisha Chelsea na man u ,man u hata kwa Astonvilla hawawez kumu outplayChelsea wanacheza vizuri kama timu zingine kubwa tangu ligi ianze
Tatizo letu kubwa ni ufungaji
Fuatilia statistics za Chelsea utagundua hili
Man city tu ndio waliofungwa magoli machache kuliko Chelsea; City (5) na Chelsea (6)
Midfield na Defence tumekaa solid. Only mbele ndio wametuangusha
- Mechi na Liverpool tuliwa outplay
- Mechi zilizofuata hata kama hatukuwa kwenye best level ila opponent tuliwazidi
- Tukifanikiwa kutatua issue ya ufungaji, tunaweza kwenda double figure bila kufungwa
Jana Gallagher kacheza vzr SanaNyie mpira huwa mnaangalia vipi? Ukiachana na leo ambayo ni moja ya mechi bora kwake nambie siku gani nyingine kazingua? Mnataka afunge?
Sio jana tu hata mechi nyingine zipi unaweza muangushia jumba bovu kwa Chelsea hii?Jana Gallagher kacheza vzr Sana
Wa kulia lia, chezeni mpira acheni kutaka ushindi nje ya uwanja
Ingekuwa Gallagher ana uchezaji wa kimkakati (strategic and visionary play), angekuwa bonge la mchezaji. Juhudi imejaa pale, yuko uwanja mzima. Ila zile pasi strategic kama ya Jana aliyotoa Caicedo kwa Colwill au zile alizokuwa anazitoa Enzo au hizi za sasa anazozitoa Palmer. Tungekuwa na bonge la Mchezaji. Tuwe na imani kwa Pochettinoi, labda atamfanya afikie hizo viwangoSio jana tu hata mechi nyingine zipi unaweza muangushia jumba bovu kwa Chelsea hii?
Ofcoz kwa kiwango bado kiko chini anahitaji kuongeza bidii hasa kimaamuzi. Ubora wa pass unakuja kama unao uwezo wa kung'amua ni wapi aupeleke mpira hasa yeye akiwa under pressure. Hapo ndio wengi tunakuja kusema ubora wa pasi. Hilo ndio linawasumbua viungo wengi sana na hata yeye piaIngekuwa Gallagher ana uchezaji wa kimkakati (strategic and visionary play), angekuwa bonge la mchezaji. Juhudi imejaa pale, yuko uwanja mzima. Ila zile pasi strategic kama ya Jana aliyotoa Caicedo kwa Colwill au zile alizokuwa anazitoa Enzo au hizi za sasa anazozitoa Palmer. Tungekuwa na bonge la Mchezaji. Tuwe na imani kwa Pochettinoi, labda atamfanya afikie hizo viwango
Sjiu ben na jems wanashida gani basi naona nao muda wa kuondoka umefik eti ndio ma captain hovyo kabisa aibu kwa Poche na kujikomba kwa waingereza[emoji599][emoji838] Ben Chilwell expected to miss the next 2 months due to hamstring injury.
He could return in December but it’s not guaranteed yet.
[emoji633] Blow for Poch but Chelsea coaching staff have also appreciated Cucurella’s performances, training best way. Three games started, three wins.
Nasikia Reece ni bwabwaSjiu ben na jems wanashida gani basi naona nao muda wa kuondoka umefik eti ndio ma captain hovyo kabisa aibu kwa Poche na kujikomba kwa waingereza
Kama ni kweli akae nje tu hata miaka na afe kabisa nimemchukia tangu nilipo sikiaa msenge sana huyo mtoto nyauNasikia Reece ni bwabwa
Daah jitu kama lile miraba minne alafu kuna mtu analipumilia kisogoniKama ni kweli akae nje tu hata miaka na afe kabisa nimemchukia tangu nilipo sikiaa msenge sana huyo mtoto nyau
We boya mpira hujui, Ghalagah ni mchezaji wa hovyo,mchezaji anakimbia kimbia tu uwanjani kama kuku aliyekatwa kichwa unasema anacheza vizuri?!!. Yeye ndio alikua anafanya wakina Caceido na Enzo waonekane wavovuSio jana tu hata mechi nyingine zipi unaweza muangushia jumba bovu kwa Chelsea hii?
Bora likakufe tu na likae nje kwa miezi mingi na kiwango kifeDaah jitu kama lile miraba minne alafu kuna mtu analipumilia kisogoni
Wewe Ustaadh umesokota rasi style gani?Wa kulia lia, chezenmi mpira acheni9 kutaka ush8indi nje ya uwanja
Ni kawaida ya bangiThe Blues ikicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani kibabe, bingwa wa dunia anapita.
Gari limeshawaka halafu limekata brek linateremka mlima kila tutaekutana nae kuanzia sasa atasimulia.Ndugu yangu Mkohoti naona gari tayari limewaka, kwani mechi yenu na Arsenyau lini?
Kama vipi Nyumbu fc game yetu ya leo tuwaachie nyinyi mkipige na kina Ertugrul beyi.
Demu wake huyu hapaKama ni kweli akae nje tu hata miaka na afe kabisa nimemchukia tangu nilipo sikiaa msenge sana huyo mtoto nyau
Na dada yake ni msagajiKama ni kweli akae nje tu hata miaka na afe kabisa nimemchukia tangu nilipo sikiaa msenge sana huyo mtoto nyau