Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe chora tu kadiri mnavyoweza
Ila kichapo kipo palepale

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
mwezi mmoja
Huyo Chillwell bora alivyoumia tu ,maana Pochetino alikuwa ndio anamtumia kuharibu mfumo , we unamchezesha Chillwell kama winger ,si wehu huo ?
Enzo naye hafai kucheza kumi ,arudi kucheza kwenye nafasi yake 8
 
Tatzo kocha ndio anapanga hovyo
 
.
 
Hii timu na united zina majeruhi Kila mahali, Kila nafasi hizi timu mbili lazima ukute pancha.
 
Huyu Reece James anafikishaga hata mechi 10 kweli
 
Umemuacha mmoja, jumla ya majeruhi ni 10, Madueke bado hajawekwa benchi rasmi, walikuwa waje kwa pamoaj na akina Chukwuemeka, Chaloba na Battinelli
 
Wamrudishe huyu mama aliweza kuthibiti majeruhi pale darajani
Leo ni birthday yake ya 50
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ