James Rodriguez 10
Senior Member
- May 4, 2023
- 142
- 230
Kuna hatihati ya caicedo kuanza mkuu.Bournemouth vs The Blues
4-2-3-1/ 4-3-3
-------- Jackson ------
Mudyk ---- Enzo --- Sterling
----Caicedo -- Gallagher ---
Chilwel - Colwil - Silva - Malo
Bournemouth vs The Blues
4-2-3-1/ 4-3-3
-------- Jackson ------
Mudyk ---- Enzo --- Sterling
----Caicedo -- Gallagher ---
Chilwel - Colwil - Silva - Malo
Mpaaaka usemeSitegemei makubwa kwenye hichi kikosi leo
Hatujatulia bado, Mabeki wetu bado ni malena, Silva kaanza kuonyesha dalili za kuchoka na hana support nzuri ya viungo au mabeki wenzake. Kipa ndio upepo kabiosa sijui Pochettino anampendea nini. Labda sura. Kijana ni handsome kweli kweli
Nashangaa piaMashabiki wa hii timu wanaishi kwa stress sana.
Hivi mnawezaje kuangalia mpira wa namna hii?
Kwa wachezaji hawa huwezi kumlaumu PochPoch ni kama hajui anachokifanya
Overated, hamna kitu mule kazi kupapatika tu kama kuku aliyekatwa kichwa.Vibwengo wa Mudryk watasema tumpe muda