hAdi chalobah amebak dah? tutashika nafas ya 20 huko.Hawa wachezaji wanabaki kwenye timu kuu
View attachment 2736015
- Deivid Washington - Striker miaka 18
- Conor Gallagher - Kiungo
- Ian MAatsen - LB - Burnley wametoa £31.5m ila mchezaji amekataa kwenda Burnley, Ian Maatsena kamwambia Vincent Company kwanini anasita kuhamia Burnley)
- Trevoh Chalobah RCB/RB
- Marc Cucurella LB/LCB
Hao wachezaji ni wehu, yaan wanakataa ofa kisa wanaipenda chelsea?! Hasa hasa huyo Mirasta Michafu,Wachezaji wote waliouzwa wangesema hivyo ina maana kusingekua na biashara.Zaidi ya 80% ya mashabiki wa Chelsea walitaka Gallagher wabaki, asiuzwe
Zaidi ya mashbiki 88% wamepiga kura Ian Maatsena abaki
Sijapata matokeo kamili ila mashabiki wengi wamefurahi Chalobah hajauzwa au kutolewa mkopo kwa sababu anaipenda Chelsea na ana nia ya kupigania kucheza.
Forest walitaka kumnunua kabisa kwenye deadline day lakini Chalobah alikataa kwani yeye alitaka kama ni kuhama Chelsea iwe ni Bayern Munich tu
Spurs walitoa pauni mil 35 kwa Gallagher ila naye aliwakataa na pia kuna ofa nyingi nyingi alizikataa ili tu abaki Chelsea. Juzi juzi alitoa ushuhuda wake ya jinsi alivyojiunga Chelsea akiwa mdogo na ndoto zake alizokuwa nazo kwenye kufanikiwa ndani ya Chelsea. Anasema hakuwahi kuwa na wazo la kuihama Chelsea
Huu uzi mkali sana ,ila ukchukua bongo utapata feki.Jamni me nahitaji kuingiza hii kitu moja kwa moja inifikie kutoka London nafanyajeView attachment 2736109
Na ndio maana nimefurahi Gallagher, Maatsen na Chalobah kubaki, umuhimu wao tutauona mbeleniMajeruhi bado yanatuandama mno..... ( 9) ni wagonjwa kuelekea mchezo wa leo na Nottingham forest.
Reece James (hamstring),
Christopher Nkunku (Knee),
Wesley Fofana (knee),
Marcus Bettinelli (knee),
Trevoh Chalobah (hamstring)
Carney Chukwuemeka (knee)
Romeo Lavia (match fitness),
Armando Broja (knee)
Benoit Badiashile (hamstring)