Malipo hapa hapa dunianiVyombo vya habari vya Uholanzi, wameripoti kuwa kinachozuia Mohammed Kudus asisajiliwe na Brighton ni hitaji la Kudus kutaka kujumuisha kifungu cha release clause kwenye mkataba wake.
Kwa hivyo kuepuka kuwa mfungwa wa Seagulls kama Moises Caicedo
BEN CHILWELLCaptain mzaidizi amepewa nani?
WagonjwaBEN CHILWELL
Yes ingekua Enzo or silvaDah Wote injury Prone.
Msaidizi wangempa Enzo.
Wanaomnunua Chalobah tunawapa na Cucu minywele kama chombeza.Lewis Hall - Palace
Broja - Westham
Chalobah - Everton
Gallagher - Westham
Burstow - mkopo
Lucas Bergstrom - mkopo
Nini maoni yako
Hivi kwa nini hajamchagua silva? Au ndio kujipendekeza kwa waingerezaVichekesho
Reece James kachaguliwa kuwa Kapteni wa Chelsea
Ben Chilwell kachaguliwa na Pochettino kuwa Kapteni msaidizi
Pochettino alitakiwa kumchagua na kapteni msazidizi wa pili ambaye sio injury prone
View attachment 2712968
Silva kashakuwa mtu mzima hawezi kucheza game nyingi na kuna uwezekano ukawa mwaka wake wa mwisho huuHivi kwa nini hajamchagua silva? Au ndio kujipendekeza kwa waingereza
Long term plan ndio motive behind, Silva possibly huu ndio mkataba wake wa mwishoHivi kwa nini hajamchagua silva? Au ndio kujipendekeza kwa waingereza
Huyo kundu's umemtolea wapi maana sijaona taarifa zozote za hivi karibuni zikionesha tumetoa bid ya kumsajili au kukubaliana nae maslahi zaidi ya tetesi tu tofauti na mtu kama Caicedo ambaye kila dalili zinaonesha anakuja darajani.
Hii habari nimeipendaUpdate za usajili eneo la viungo
Hadi sasa kwa taarifa za jana ni kwamba Chelsea wako kwenye hatua za juu kabisa kuwasajili viungo hawa na lengo ni wawe tayari kabla ya mechi na Liverpool
Sasa tutakuwa na
- -Kiernan Dewsbury-Hall kutoka Leicester city
- -Tyler #Adams kutoka Leeds United - nampeda huyu ni mzuri sana, huyu ni RC ya pauni 20m
- -Romeo #Lavia - kutoka Soton mimi sio mpenzi wake sana bid ya pauni 48m zaidi ya 45m za Liverpool
- -Moises #Caicedo - Chelsea wamekubaliana pauni mil 90 na addons za mil 10, bado taarifa za Fabrizio Romano tu
- Enzo,
- Caicedo,
- Lavia,
- Adams,
- Andrey Santos,
- Chukwuemeka,
- Gallagher.
I have a dream 😨😨😨