juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Florentino Luiz ni bonge la mid, wachezaj wengi wanaotoka league ya ureno, huwa hawachukui mda kuadapt Premier leagueKaribia hao wote ni wazuri kuliko Caisedo
Hofu ni uzoefu wao na premium League
Nocolo Barela ni mzuri ila anakuwa mzuri zaidi kwenye offensive phase
Kwenye CDM mimi namuona Thuram na Kone na kwa mbali Luiz ndio the best hata kuliko Caisedo
Tunabaki na changamoto wakija EPL wanaweza wasionekane kama Koulibaly alitamba sana Serie A, kaja EPL ameshindwa kuendana na mwendo kasi wa Ligi
Wameona Westham wanaenda kupata £100m nao wamepandisha Wanataka biding warMmiliki wa Brighton anataka £120M,
Naona tungeachana nae, kuna mid wazuri tu wapo.
Khephrem Thuram
Manu Kone
Romeo Lavia
Florentino Luiz
Martin Zubimendi
Nicolo Barella.
Wanamtaka Galagher, kwa Colwil wanajua hatuwezi wauziaWameona Westham wanaenda kupata £100m nao wamepandisha Wanataka biding war
Mna uhaba na Kiungo mtatoa tu maana mnawakazia kwa Colwill na wao wanawakazia kwa Caicedo
Nasikia inaweza kuwa £70m + Gallagher
Changamoto nyingine Pochettino anataka mzoefu wa EPL na kwa hiyo Chelsea itang'ang'ana na CaisedoFlorentino Luiz ni bonge la mid, wachezaj wengi wanaotoka league ya ureno, huwa hawachukui mda kuadapt Premier league
Caicedo mtampata , nimeona mazungumzo yapo mwishonChangamoto nyingine Pochettino anataka mzoefu wa EPL na kwa hiyo Chelsea itang'ang'ana na Caisedo
Hapa tumebugi sana, boehly ameshindwa tafuta sponsor mzuriTutakuwa na hawa mwakani, Three wameondoka na wale wengine wanaoitwa Allianz hawana pesa
View attachment 2658995
View attachment 2658997
Hamna jinsi na wametoa mzigo mkubwa ila dili lao ni mwaka 1 tu cos msimu wa 2025 kampuni za betting hazitakiwiHapa tumebugi sana, boehly ameshindwa tafuta sponsor mzuri
Kwani unamuonaje caicedo?Chelsea walimuahidi Ugarte Euro mil kama 70k/wiki wakaja PSG wakaongeza dau, sisis tukadinda na kupotea
Kwa Caisedo, Chelsea nasikia tetesi kwamba Chelsea wamemuahidi dau la Euro 200k/wiki. Kama taarifa hizi ni za kweli sijui Caisedo ana nini zaidi ya hao wengine au Ugarte alikosa EPL experience?
Wawachukue,na tunawapa challoba kama nyongeza,na wasitupe hat mia yao.Baada ya kukata tamaa ya kumpata Colwill sasa Brighton wanamtaka Galagher na Broja
Maoni yako ni ipi?