Hapo Chelsea kuna vichaa sana...ilikuaje Datro Fofana akamzidi mshahara Mount na Kovacic?Mishahara hiyo, muwaone wanaokula mishahara bure
Swali, nani alimnunua Datro Fofana? mbona kawekewa mzigo mkubwa kuliko umri na uzoefu wake
View attachment 2654009
Chanzo cha taarifa yako kiko wapiMan city now have overtake chelsea as the fourth most successful english club.
Unaomba source seriously?Chanzo cha taarifa yako kiko wapi
Toa source mjomba, acha kujamba jamba.Unaomba source seriously?
Hii nayo ni ya kukaa unaomba source?
Timu yako hujui ina makombe mangapi?
Timu yako hujui ina mafanikio kiasi gani pale uingereza na iko ranked wapi?
Wewe ni shabiki wa chelsea?
ngalawa tv.Toa source mjomba, acha kujamba jamba.
Na hichi kitu ndicho kinachoondoa morale ya wachezaji na kucheza vibayaHapo Chelsea kuna vichaa sana...ilikuaje Datro Fofana akamzidi mshahara Mount na Kovacic?
Chelsea do not plan to sell Carney Chukwuemeka this summer or include a permanent clause in any loan contract. The Blues are considering sending the 19-year-old midfielder out on loan this summer to help him get some more first-team experience elsewhere. #CFCAC Milan wanamtaka Carney Chunkwuemeka
Ningekuwa mimi, huyu dogo asiuzwe kabisa
View attachment 2653816
Mkuu lembu unaandika vibaya haya maparagraph unavyoyaunga. Jaribu kupangilia bandiko zako vizuri weka aya zionekane itapendeza zaidi🤝🏽Nimemcheki leo Cesare Casadei akicheza na Uruguayi FIFA WC U20, pamoja na kushinda kiatu cha dhahabu na mchezaji bora wa hayo mashindano ila bado kwa maoni yangu atahitaki kwenda mkopo wa misimu sio chini ya miwili ndipo aweze kupambana na presure ya EPL. Na ikiwezekana aende kwenye ligi za Uingereza aidha EPL au Championship. Hata Andrey Santos na Chunkwuemeka nao waende loan wakajinoe. Kwenye viungo tutahitaji wazoefu angalau wawili, kama akina Kova atabaki tutahitaji mmoja, mbele. Kama Havertz, Mount na Ziyech watabaki, hatuhitaji winger au CAM ila wakiondoka tutahitaji equivalent replacement. Kuhusu striker, kama hatuhitaji kushindania makombe Datro na Broja watatosha, ila kama tutahitaji kushindania makombe, tutahitaji Striker asiye na kigugumizi na Datro apelekwe mkopo. Chalobah mkopo, Kou aruhusiwe aende uarabuni,
Azpilicueta apewe uhuru wake, Pulisic aruhusiwe kusepa, Cheek tuombe AC Milan warudi kwenye meza,
Dogo ni ana potential nakubali, lakini kwa highlights zake akiwa anacheza championship (kama sjakosea), bado sana tena sana kushindania nafasi ndani ya Chelsea. Hata Santos mwenyew bado sana, wanahitaj miaka miwili mpk mitatu ya uzoefu ndipo tuweze kuwafikiria.Nimemcheki leo Cesare Casadei akicheza na Uruguayi FIFA WC U20, pamoja na kushinda kiatu cha dhahabu na mchezaji bora wa hayo mashindano ila bado kwa maoni yangu atahitaki kwenda mkopo wa misimu sio chini ya miwili ndipo aweze kupambana na presure ya EPL. Na ikiwezekana aende kwenye ligi za Uingereza aidha EPL au Championship. Hata Andrey Santos na Chunkwuemeka nao waende loan wakajinoe. Kwenye viungo tutahitaji wazoefu angalau wawili, kama akina Kova atabaki tutahitaji mmoja, mbele. Kama Havertz, Mount na Ziyech watabaki, hatuhitaji winger au CAM ila wakiondoka tutahitaji equivalent replacement. Kuhusu striker, kama hatuhitaji kushindania makombe Datro na Broja watatosha, ila kama tutahitaji kushindania makombe, tutahitaji Striker asiye na kigugumizi na Datro apelekwe mkopo. Chalobah mkopo, Kou aruhusiwe aende uarabuni,
Azpilicueta apewe uhuru wake, Pulisic aruhusiwe kusepa, Cheek tuombe AC Milan warudi kwenye meza,
Onana ana footwork hatari Sana, EPL hakuna anayemkutaAndre Onana
Mike Maignan
David Raya
Wote makipa wazuri, wote wana miaka 27 na wote wamevutiwa na Chelsea
Tumsajili yupi?
View attachment 2654091
Mtoto wa la Masia,,Onana ana footwork hatari Sana, EPL hakuna anayemkuta
Haya ndo maamuzi sahihi...hatutaki mazoea kwa wachezaji wavivu.
Huyo Mchele mnaenda kupgwa mchana kweupe, mchezaji wa kawaida sana.Baada ya Rice wiki hii tunahamia kwa Caicedo
Fanyeni haraka dili la Caicedo
Priority yetu Sasa Ni Rice (£100m)
Then tumgeukie Caicedo Kama bado Chelsea atakuwa anachelewa
Our dream Midfield Ni RICEDO (RICE & CAICEDO)