Kwa hiyo huko mtamlipa 250k/week aliyokuwa anaitaka huku?Thiago Silva reacts with tearful emojis on Mount's impending Chelsea exit
2 hours ago / autty
Thiago Silva has made his feeling crystal clear over Mason Mount's seemingly inevitable Chelsea exit.
The centre-back responded to a Chelsea fan account on Instagram repeating claims that the Englishman has agreed personal terms with Manchester United.
Silva commented below with two sad-faced tearful emojis and it appears as though the Stamford Bridge club will be losing their homegrown star.
The Brazilian's reaction on Instagram perhaps indicates the mood of the dressing room, disappointed to lose one of the core members of the group.
Sijui kama watamlipa mkuu, Mimi Chelsea die hardKwa hiyo huko mtamlipa 250k/week aliyokuwa anaitaka huku?
Ile playing style ya Teh Hag, Mount atauweza sanaHuu utapeli ambao mnataka kuwafanyia manjesta Pepo mtasikia tu
Mount kwa €80m?
Roy Keane:
"Sioni mount akitoboa manjesta,Kama mount alishindwa kuingia kwenye kikos Dhaifu Cha Chelsea ,€80m utakuwa utapeli wa kutisha "
| Majeruhi | Kuanzia | Hadi |
| Groin | 19/04/23 | - |
| Torso | 03/03/23 | 31/03/23 |
| Lower Leg | 20/12/22 | 26/12/22 |
Aiseeeh....mabingwa wa kusajili,uwanjani SUFRIManuel Ugarte akubali ofa iliyoboreshwa na Chelsea baada ya mazungumzo ya jana
Sasa iliyobaki ni majadiliano ya Chelsea na Sporting kuhusu ada na addons
Kiungo msimu ujao
Enzo ------------- Manuel ugarte ------------------ Caisedo
Arsenal kweli hamna akili kufanya vibaya msimu mmoja tu ndo unasema hivyo nyie mliofeli miaka 20 je?Aiseeeh....mabingwa wa kusajili,uwanjani SUFRI