Felix ni mara 100 kuliko SterlingTetesi
Nasikia kwenye majadiliano Pochettino amesema hamtaki Felix kwenye mradi wake wa Chelsea
View attachment 2640240
Namba tofauti wanachezaFelix ni mara 100 kuliko Sterling
Ni official sio tetesi tena hayupo kwenye mipango yakeTetesi
Nasikia kwenye majadiliano Pochettino amesema hamtaki Felix kwenye mradi wake wa Chelsea
View attachment 2640240
Mchezaji mzuri ila Atletico waliwapiga £20M loan fee for only 6 months ila kawasaidia mmemaliza nafasi ya 12 hamjashuka darajaTetesi
Nasikia kwenye majadiliano Pochettino amesema hamtaki Felix kwenye mradi wake wa Chelsea
View attachment 2640240
Unaijua £20M mzee au unaongea tuMchezaji mzuri ila Atletico waliwapiga £20M loan fee for only 6 months ila kawasaidia mmemaliza nafasi ya 12 hamjashuka daraja
João Félix will NOT stay at Chelsea next season. Pochettino has decided, João returns to Atléti.“We have been informed that Poch does not count with João Félix for Chelsea. He will return here, we’ll see… we’ve nothing planned”, Atlético president Cerezo has announced.Tetesi
Nasikia kwenye majadiliano Pochettino amesema hamtaki Felix kwenye mradi wake wa Chelsea
View attachment 2640240
Mpka na lev nae mnataka auzwe?Inavyoelekea Chelea hawana mpango wa kumsajili Kante
Naona wanaweka kipaumbele kwa wachezaji wapya
Manuel Ugarte na Moisés Caicedo
Kwenye 4-3-3
Itakuwa hivi next season
Sterling --------------- Nkunku ---------------Madueke
Enzo ------------------Caisedo ----------------Manuel
Chilwell -------- Badiashile --------Silva ---------James
----------------------- Onana -----------------------
AU 4-2-3-1
------------------New Striker-------------------------
Sterling --------------- Nkunku ---------------Madueke
-----Enzo -------------------------------Manuel-----
Chilwell -------- Badiashile --------Silva ---------James
----------------------- Onana -----------------------
AU 3-4-2-1
------------------New Striker-------------------------
Nkunku --------------- ----------------------Madueke
Chilwell-----------Enzo -----------Manuel----- James
------ Badiashile --------Silva ---------Fofana------
----------------------- Onana -----------------------
Sub
On loan
- Kepa
- Justo
- Wesley Fofana
- Koulibally
- Cucurella
- Chalobah
- Lewis Hall
- Ian Maatsen
- Galagher
- Andrey Santos
- Carney Chunkwuemeka
- Mykhailo Mudryk
- Havertz
- Broja
For sale or free agent
- Gabriel Slonina
- Cesare Casadei
- Bashir Humphreys
- Harvey Vale
- Xavier Simons
- Azpilicueta
- Cheek
- Mason Mount
- Mateo Kovacic
- Hakim Ziyech
- Ngolo Kante
- Edourd Mendy
- Marcus Bettineli
- Aubameyang
- Christian Pulisic
- Romelo Lukaku
- Levi Colwill
- Ethan Ampadu
- Tiemoué Bakayoko
- Callum Hudson-OdoiLeft
- Malang Sarr
- Abdul-Rahman Baba
View attachment 2640796
Hao magwiji wa usajiri ndio tatzo wanasajili watu wa hovyo na makocha nao hawatumiiiKabla ya World Cup, Todd Boehly na Behdad Eghbali walishakuwa na makubaliano ya mdomo na Mount ila baada ya uteuzi wa Paul Winstanley na Lawrence Stewart upepo ukabadilika ghfla. Uwepo wa magwiji wa usajili kama akina Paul Winstanley, Joe Shields na Christopher Vivell na pia baada ya akina Todd Boehly na Behdad Eghbali kuachana na kufanya shughuli za kila siku. Hawakuona umuhimu wa timu kuingia tena kwenye matumizi makubwa na hivyo kulazimisha yale makubaliano ya mwanzo yafe kifo cha mende. Uuzwaji wa Mount na baadhi ya majina makubwa pale Chelsea itasaidia sana sio tu kubalance vitabu kwa ajili ya FFP lakini pia itatoa mwanya wa kusajili wachezaji wazuri na kwa bei poa.
View attachment 2640782
Tetesi
Nasikia kwenye majadiliano Pochettino amesema hamtaki Felix kwenye mradi wake wa Chelsea
View attachment 2640240
Kabla ya World Cup, Todd Boehly na Behdad Eghbali walishakuwa na makubaliano ya mdomo na Mount ila baada ya uteuzi wa Paul Winstanley na Lawrence Stewart upepo ukabadilika ghfla. Uwepo wa magwiji wa usajili kama akina Paul Winstanley, Joe Shields na Christopher Vivell na pia baada ya akina Todd Boehly na Behdad Eghbali kuachana na kufanya shughuli za kila siku. Hawakuona umuhimu wa timu kuingia tena kwenye matumizi makubwa na hivyo kulazimisha yale makubaliano ya mwanzo yafe kifo cha mende. Uuzwaji wa Mount na baadhi ya majina makubwa pale Chelsea itasaidia sana sio tu kubalance vitabu kwa ajili ya FFP lakini pia itatoa mwanya wa kusajili wachezaji wazuri na kwa bei poa.
View attachment 2640782
Ni wageni makosa yalishafanyika hata kabla wao hawajaanza kaziHao magwiji wa usajiri ndio tatzo wanasajili watu wa hovyo na makocha nao hawatumiii
Soma taarifa, Levi mwenye haitaki Chelsea na mashabiki wamekasirishwa na interview aliyofanya baada ya Chelsea nafikiri kufungwa na Manure. Yeye anataka kubaki Brighton na tukilazimisha kumleta anaweza asicheze kama alivyocheza Brighton. So always kuna options nyingi nio vyema kubaki na wachezaji ambao watakuwa Loyal kwa timu, amshabiki na kochaMpka na lev nae mnataka auzwe?
Unafikiri matajiri hawa wa kimarekan wanaweza wakajitenga na shughuri za mpira kweliNi wageni makosa yalishafanyika hata kabla wao hawajaanza kazi
Hata ule wa usajili wa Kiangazi na january haukuwa mbaya na tatizo la Chelsea kwa sehemu kubwa haiko kwa wachezaji. Liko kwenye maamuzi mabaya ya matajiri kusajili wachezaji wa kocha huyu halafu kocha anatimuliwa kocha mpya anakuja kuwaridhi wachezaji wa kocha mwingine tena ni wageni wengi wao. Jumlisha na makosa mengine mengi iliyowaacha wachezaji discouraged
performance mbaya huwezi kumlaumu kocha au wachezaji, Mangement ilifanya maamuzi mabaya bila kujali factors zingine
Sasa kwa maelezo inaonyesha akina Boehly na wenzake hawatashiriki tena kwenye day to day activities basi hao magwiji wa usajili na scouting team tuwahukumu baada ya haya makosa ya nyuma kufanyika