Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,238
- 40,127
Tujikumbushe UEFA Semi final ya 2012 baina ya Chelsea na Barcelona 2nd leg kule Campnou
Ashley cole akiwa kwenye line ya mwsho kabisa ya mabeki wa Chelsea alipata mpira uliokuwa unazurura na kumpasia Torres kwa haraka na yeye bila ajizi akamhadaa kipa wa Barcelona na kufunga kilaini katika dk ya 90+1
Wakati tunacheza nao kwao tukiwa pungufu baada ya Terry kutolewa dk ya 37 kwa red card
Spirit ya timu ilikuwa juu sana, na hiyo spirit siku hizi imepotea sijui nani kailoga Chelsea yetu
View attachment 2597959
Pochettino sasa yuko ndani ya 18 kuwa kocha wa Chelsea, bado refa boehly kupuliza tu kipenga ili awe kocha kamili
Taarifa zinadai kuwa approach ya kwanza aliyofanya Boehly mwaka jana Pochetino aliikataa kwa sababu haikumpa udhibiti kocha, hii ya sasa naona kocha atakuwa na udhibiti wa timu zaidi
View attachment 2599299
Puchetino mi naona yupo vizur, ni kocha mzuri, kama aliweza kusumbua na tot yenye wachezaji wa kawaida. Vp kw chelsea hii yenye wachezaji vipaji.Ndugu wanaChelsea vipi huyo Pochettino atatuvusha kweli msimu ujao?
Kwann Boehly asimchukue yule kocha wa Aston Vila[emoji2371][emoji2957][emoji2957]
Hii hali imetengenezwa na makocha waliopita. Akija kocha mzuri form za wachezaji utashjangaa zitakavyobadilika na kuwa agressive and strong. Ambaye hataimprove mimi naona wa kwanza ni Sterling, kaja Chelsea kula kiinua mgongo tuSio the blues ya sasa yenye wachezaji wengi wavulana, laini laini, miss epl, kwashakoo, wapaka bleach, Waruwaru na paparazi
kwann tusibet kwa maignanChelsea wanampango wa kumtoa Kepa kama swap deal ya kumleta Onana darajani
Mkuu Hawa ma legends wa uingeleza wanajifanyaga wanajua Sana kuchambua mpira . Kasheshe linakuja wanapopewa kuongoza timu ππHivi kumbe na wazungu wanaweza kuwa ma failure kiasi hiki? Yaani Lampard kashindwa kabisa kushinda mechi hata moja hata kama kaletwa pale kumalizia msimu! Binafsi mi nashangaa sana