Tumerudi nyuma sana mkuu watu hawalioni hili.Ila kama mme notice hz mechi mbili za Lampard tumekuwa wabovu zaidi ya kipinsi cha Potter... Coz wakati Potter yupo nafasi zilikua zinatengenezwa na kulikua na amsha flan hivi ila kupata matokeo ndio ishu...
Hata mechi ya Livepool chini ya Bruno mwanafunzi wa Potter tulicheza amsha zilikuwepo
Ila Lampard ka tumeanza upya vile....
Kwa jinsi tulivyocheza mechi mbili zilizopita ni waz kumeudisha Lampard ni boko....
Hivi Ass anal nani kawaroga?? Jana wamecheza Madrid na chelsea, picha unapost za chelsea vs Ass anal, ambayo hat haipo UEFA. Ukiwa shabik w Ass anal lazima ziwe hazijatimia zote.Huwezi kununua wachezaji wa £600M kisha ukasema ni long term process
Ni mlevi tu ndo anaweza kukuelewaView attachment 2586056
Hakuna chakurudi nyuma wala kwenda mbeleIla kama mme notice hz mechi mbili za Lampard tumekuwa wabovu zaidi ya kipinsi cha Potter... Coz wakati Potter yupo nafasi zilikua zinatengenezwa na kulikua na amsha flan hivi ila kupata matokeo ndio ishu...
Hata mechi ya Livepool chini ya Bruno mwanafunzi wa Potter tulicheza amsha zilikuwepo
Ila Lampard ka tumeanza upya vile....
Kwa jinsi tulivyocheza mechi mbili zilizopita ni waz kumeudisha Lampard ni boko....
Yaani bora hata potter aisee mpira ulikua unaonekana, sio hii takataka Lampard hata timu kupga pasi tatu haiwezi, back pass za kutosha.Bora Potter
kwani mimi nilisema hajacheza vizuri?Tusimuonee keppa...he made many fantastic saves..goli la kwanza huwezi kumlaumu kabisa..alijitahidi kufanya save ila beki walishindwa kuubutua mpira na kumuacha benzema akicheka na nyavu. Pia fofana alizingua kukaba unamkabaje vini jr kinyumenyume vile.
Goli la pili ni makosa ya huyo fofana kwanza amezuia uwezo wa kipa kuona pia aliruhusu mpira kumpita tobo..kepa kuja kusthtuka mpira upo kambani.
Chilwell jana hakuwa kwenye form kabisa sijui hata kama anajua nini maana ya wing back...kipindi cha kwanza chote sidhani kama alipanda kwenda kushambulia. James alikuwa active ila huwezi kumlaumu kwasababu ya Vini jr...alikuwa anahofia sana kupanda ili asije kupigwa counter attack
Mechi ya Chelsea Vs Liverpool... Chelsea walikuwa vizuri sana...Tumerudi nyuma sana mkuu watu hawalioni hili.
Mandonga anaonekanaga Mzuri akikutana na mabondia dhaifuMechi ya Chelsea Vs Liverpool... Chelsea walikuwa vizuri sana...
Yaani tunajiabisha kwa timu zingine kwa majigambo haya, tuache tu ili tufiche aibu yetuKumbuka magoli yenu ni sifuri
Sisi angalau tulitikisa nyavu.
Nilikuwa active kutimiza ahadi niliyoiweka.
Nilijua tu hamtaweza kupindua meza nyie makubwa jinga ya wiki[emoji1787]