Kwaio huyu ndo atakuja kuwafungia magoli? Nyie kenge mna matatizo kweli shida yenu ni magoli na mnahisi kante ndio suluhishokaanza full training[emoji39][emoji110]View attachment 2528803
Nguvu kama ipi kwa mfano?
Anasema hivyo hivyo Cha ajabu hampangi anamn'gan'gania Kai havert
🤣🤣🤣🤣Tuna imani na potter
Mkuu unahisi kuna watu wataandamana, zaidj yakuweka banner za potter out katika siku za match, kuzomea,Kuandamana wakiwa na mango wakihamasisha kutumuliwa kwa kocha, kugomea kununua tickets pamoja na kutoingia uwanjani kucheki mpira kwahiyo ndugu subiri Potter apoteze against spurs na kutolewa na Dortmund UEFA ndio utaona hali ya hewa itavyochafuka hakuna mtu atakayekuwa upande wa Potter Tena kuanzia mashabiki, legends wa club, wachambuzi wa Media, Waandishi ikishafikia hatua hiyo kivyovyote Mabossi hawatamvumilia Tena kinachofuata ni kutimuliwa
juan david
Wewe nilikuwa nadhani unajua hata chembe ndogo ya mpira kumbe nilikuwa najidanganyaNadhani Chelsea itashuka daraja
Kama huwezi mgunga Southampton kwako utamfunga nani?
Kesho Spurs anakupiga kama mtoto
Kazi ya Unai Emery hiyo , pumbaf Sana Boehly ,mkurupukaji Yule, potter hafai kuwa kocha wa chelseaWakati Potter anachukua Chelsea kuifundisha, Aston Villa walikuwa wa mwisho kwenye table
Leo hii Astona Villa na Chelsea wamelingana points 31 kila moja, mechi zijazo Astona Villa watampiku Chelsea kwenye namba 10 na points
Sasa kaka unataka baba wa watu familia yake ikale wapi?Kazi ya Unai Emery hiyo , pumbaf Sana Boehly ,mkurupukaji Yule, potter hafai kuwa kocha wa chelsea
🤣🤣🤣Hii timu bado ipo ligi kuu tu?
Ni wapuuzi tu ndio wanatoa coment kama hiiPotter achomewe ndani na familia ake ndio maboss wanatajua raia wana asira