hakuna haja ya kufunga goli lolote kama huyu mbwa ni kocha hapo, bora wasifungeee kabsa mpaka ligi iishee tuone huyo bwana miluzi kama ataendelea nayeHata kama Potter sio kocha mzuri, hao wachezaji wanalipwa mshahara mkubwa halafu mwezi mzima hakuna anayefunga goli. Wanafikiri timu itasurvive namna gani hapo jijini London
View attachment 2524466
Arsenal ni kiburi, fedhuri, jeuri na matusi....mdomo utawapozaS
Sema mashabiki wa Arsenal mnambwembwe matokeo mnayopata yanawatia kiburi nishawaambia ombeeni mchukue epl tofauti na hapo mtasimangwa Sana sisi chelsea tupo kwenye ujenzi msimu unakuja mtatujua vizuri
mimi naona iliyobaki ni kumuombea afe tuu maana hakuna namna atafukuzwa, na chelsea tutapigania kutoshuka darajaSasa iliyobaki ni kumuombea Potter afanye vizuri tu maana uwezekano wa kufukuzwa hakuna
Hicho ndo anachokisema TT hapo kwenye statement yakeTutaipimaje process kama matokeo sio mazuri???
Matokeo yakionekana yanakuwa bora maana yake process inafanya kazi ya kutufikisha kwenye malengo
Matokeo yakiendelea kuwa mabaya maana yake process inatupeleka shimoni
Kila mech rotation, hatutoboi.Kante akirudi uwanjani, Potter ataanza kushinda mechi.
Hakuna kiungo ya timu yoyote duniani inapenda kukutana na KANTE akiwa kwenye ubora.
Kante & James huwa wanachangia 70% ya ushindi THE BLUES.
Cry moreS
Sema mashabiki wa Arsenal mnambwembwe matokeo mnayopata yanawatia kiburi nishawaambia ombeeni mchukue epl tofauti na hapo mtasimangwa Sana sisi chelsea tupo kwenye ujenzi msimu unakuja mtatujua vizuri
Akale EmiratesSasa afukuzwe akale wapi!?😂😂
Hao wanaofukuzwa wanedna kula wapi?Sasa afukuzwe akale wapi!?😂😂
Wanamkubali Potter kwa sababu ni kama puppet wao, akiambia lolote anasema ndio bosi, kaa chini ndio bosi, lala kifudifudi, ndio bosi, leo weka 343 ndio bosi, ile mechi na Dortmund weka 6-3-2 ndio bosi. Potter hawezi kupinga kama TT na ndio maana TT alifukuzwa