juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Huwezi compare 1980s na sasa,Sir Alex Ferguson time anaanza kazi MANCHESTER United aliikuta timu ipo nafasi ya kwanza zikiwa zimebaki mechi 7 lkn akahakikisha anafungwa zote na timu ikashika nafasi ya 16
Mechi 38 mfululizo hivi unajua umemaanisha inabidi ashuke darajaSir Alex Ferguson time anaanza kazi MANCHESTER United alifungwa mechi 38 mfululizo misimu wake wa kwanza kabisa
Huyu kocha ataondoka ni swala la mda tu maana hao matajiri wenyewe wamewekeza ili kupata faida na sio hasaraSwali la kujiuliza kwanini matajiri walimwajiri Potter kuwa kocha wa THE BLUES?
Majibu ya swali hilo ndio maana hafukuzwi na wala hatafukuzwa hivi karibuni.
Ingekuwa aliajiriwa world class coach maana yake ingekuwa ni kutupa makombe. Na kwa matokeo mabaya kama ya sasa angetimuliwa mara 1
Potter yuko kwenye mission maalumu na matajiri wa timu.
Kama kocha anaulizwa na waandishi wa habari kuhusu tatizo timu inapitia na yeye anakana na kusema yeye hausiki kwenye hilo tatizo huyo ni kocha kweliPotter hii team ishamshinda, ukimuuliza ipi ni winning team yake hawezi jibu. Na ndio maana hakuna improvement yoyote maana kila wiki mabadiliko..
Ni mmoja kati ya mistake mbovu tulizowahi fanya ni kumuappoint huyu, ni kama tumedowngrade na tumeshusha standard zetu
Sio rahisi hivyo kwa jinsi timu inavyochezaMara Paaaaap Potter anapata ushindi kwa Spurs na Dortmund.
Tuchel aliichukua Chelsea iko no 9 akaipeleka no. 4 mdani ya miezi mitanoEven Arteta katika miez 6 yake ya mwanzo aliwin FA Cup then Community Shield. Unaona kabisa kuwa huyu ni kocha akipewa mda atawin.
Sasa Potter ndani ya miez 6 hatuko katika michuano yoyoye alichohakikisha na tunaenda kutolewa na Dortmund. Then atasema the lads gave everything.
Premier league Tuchel alituacha tuko wa 4, katika mech 6 za mwanzo kama sijakosea ila Potter kashatutoa hapo tuko 10[emoji24]
𝐉𝐔𝐒𝐓-𝐈𝐍: Chelsea fan's reactions Chelsea fans are frustrated with both the head coach and Todd Boehly's decision on defending Graham Potter despite of poor results all through. They're are currently planning a protest starting on Wednesday. Sack potter #ChelseaFCKatika kitu ambacho sidhani kama kitatokea kwa haraka ni KUFUKUZWA KWA POTTER.
Hawa Matajiri wako radhi kuboresha benchi la ufundi kwa kumuongezea Potter makocha wasaidizi ambao ni wataalamu zaidi.
Kwasababu hawa matajiri watataka kujitofautisha na Roman kwenye timua timua ya makocha.
Potter bado tupo naye sana.
Kama shabiki chagua moja kuendelea kuishabikia timu kwa maumivu au kupumzika kutoishabikia kwa sasa.
mashabiki watachukia, maombi sasa hivi ni ashindwe ili afukuzweMara Paaaaap Potter anapata ushindi kwa Spurs na Dortmund.
zama za kale, zilipendwa hizo. ligi za leo hakuna mtu atasubiriSir Alex Ferguson time anaanza kazi MANCHESTER United alifungwa mechi 38 mfululizo misimu wake wa kwanza kabisa
Wanamkubali Potter kwa sababu ni kama puppet wao, akiambia lolote anasema ndio bosi, kaa chini ndio bosi, lala kifudifudi, ndio bosi, leo weka 343 ndio bosi, ile mechi na Dortmund weka 6-3-2 ndio bosi. Potter hawezi kupinga kama TT na ndio maana TT alifukuzwaInaonekana matajiri wa club wapo comfortable na matokeo ya timu.
Hawajali tusipomaliza top 4 wao wanachojali ni Potter aendelee kujenga timu mpaka iwe tishio ndani ya miaka 5
Na dirisha kubwa watamsajilia wachezaji wengine.
Kwani miaka 5 ya mkataba wa Potter imeshaisha?
Wanamkubali Potter kwa sababu ni kama puppet wao, akiambia lolote anasema ndio bosi, kaa chini ndio bosi, lala kifudifudi, ndio bosi, leo weka 343 ndio bosi, ile mechi na Dortmund weka 6-3-2 ndio bosi. Potter hawezi kupinga kama TT na ndio maana TT alifukuzwaSwali la kujiuliza kwanini matajiri walimwajiri Potter kuwa kocha wa THE BLUES?
Majibu ya swali hilo ndio maana hafukuzwi na wala hatafukuzwa hivi karibuni.
Ingekuwa aliajiriwa world class coach maana yake ingekuwa ni kutupa makombe. Na kwa matokeo mabaya kama ya sasa angetimuliwa mara 1
Potter yuko kwenye mission maalumu na matajiri wa timu.
Hisia huwezi kuiamulia, wengi wetu tutaenda tu tukijua siku moja mambo yatabadilikaNdio maana hapo juu nikasema kama shabiki wa THE BLUES chagua moja
1. Kushabikia timu kwa maumivu ya matokeo mabovu
2. Kupumzika kushabikia timu kwa sasa.
Binafsi nimechagua kuupa muda nafasi.
Muda utaongea.
alisema "am here to help the team" [emoji16][emoji16][emoji16]Potter anamentality ya team ndogo kwake kulose ni sawa, akifungwa game 5 ni sawa yani hajali.
Ukiskiliza press conference yani hana ile winning mentality.
Ten Hag press conference yake ya kwanza tu anakwambia klopp n pep era can come to an end.
Tuchel anakwambia am here to win titles.
Unaona kabisa determination ya mwalim hata wachezaj nao wanakuwa wako tayar kushindana.
Sasa potter sasa ukiskiliza press conferec zake hakuna spirit,mentality ya kushindana havipo.