Kuwa discredit na kuharibu legacy ya russian oligarchs waliokuwa wamiliki wa hiyo timu , wanataka kudidimiza ishuke darajaEeeh, CIA Wakiizika Chelsea, wanafaidika kitu gani?
Mashabiki wa Chelsea akili zenu mnazijua wenyewe.
Hahahaha.Kuwa discredit na kuharibu legacy ya russian aligarchs waliokuwa wamiliki wa hiyo timu
Mech 4 zilizopita za league tulikuwa na uwezo wa kupunguza gap na top 4. Ila kwa potter sion tukifanya hivyo.Tofauti ya Chelsea na anayeongoza ligi ni points 23
Tofauti ya Chelsea na anayeshika mkia ni points 13
Tofauti ya Chelsea na top 4 ni points 10
Tofauti ya Chelsea na relagation ni points 11
We are a complete mid-table team at least for now
Jinga sana huyu anahisi shida ni nini kama sionyeye. Mbona katikabmakocha wote waliopita hatujawah kuwa na kocha kama yeye katika game 15 kashinda 2 tu.
CIA waiuwe Chelsea ili iweje sasaBoehly huyu Yankee cowboy yawezekana ni agent WA CIA , aliyetumwa kuzika hii club , trust me ,ile kuspend mapesa ni Geresha tu , huwezi spend pesa vile halafu uiache timu icheze kipumbavu hivyo na hakuna development yoyote wala achievement
Mechi mbili tu, Jorginho is Jorgninho hata huku Chelsea mechi mbili tatu anacheza vizuri halafu zingine anaburunda.Msije kushangaa Joginho tuliyekuwa tunamwita takataka ,akashine huko Arsenal
Mwenyew niliiona hii tena ilipostiwa kabla mechi haijaisha ghafla ikafutwa naona Admin wa page amechanganyikiwa
Hayo ni maoni yako, lethal utengenezwa. Siku miongoni mwa uliosema siyo lethal wakifanya vizuri unarudi tena na stories zingine.Hata Tuchel angebaki bado hii timu isingeperform
Mashabiki tunapenda kuishi kwa 'Ange' nyingi.
Tuchel amefukuzwa akiwa kagewa pesa za kusajili na akiwa kasajili mabeki wakina Koulibaly na wenzake, online zikatembea trolls za kikosi cha chelsea kimesheheni mabeki.
Am simply saying chelsea tayari ishaelekea shimoni, kwakua mashabiki wake huamini kusajili ni dawa tajiri miluzi hakuwaangusha, akasajili kila aliyesikia anasajiliwa ila shida inakuja ya kutansform mtu wa kwenye makaratasi azalishe kitu uwanjani
Niliwahi kusema Mudryk siyo lethal finisher 100%, sawa sawa na Mount, Kai, Felix, Madueke lethal finisher ni Auba ambaye kiwango chake ni hovyo. So ishu ya Chelsea ni striker ila hivi viazi vikaamini suluhu ni kuwaleta wakina Badishile
Y'all are just POS. Jitahidini kutumia akili.
Wanaongezwa kuwa makocha wasaidizi au.?TETESI:- Ni kwamba bwana TODDY anaongeza makocha wawili wengine (Enrique na Zidane) kusaidiana na Potter.