Eeeh, CIA Wakiizika Chelsea, wanafaidika kitu gani?Boehly huyu Yankee cowboy yawezekana ni agent WA CIA , aliyetumwa kuzika hii club , trust me ,ile kuspend mapesa ni Geresha tu , huwezi spend pesa vile halafu uiache timu icheze kipumbavu hivyo na hakuna development yoyote wala achievement
Dah nimecheka kinoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787].....kuna watu Wana mawazo mtandoEeeh, CIA Wakiizika Chelsea, wanafaidika kitu gani?
Mashabiki wa Chelsea akili zenu mnazijua wenyewe.