Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naam! Mpk sasa mpira umebalance

Na ubao bado uko 3 kwa 0
 
Etihad hupati kitu wale jamaa wana hasira na yeyote anaekuja mbele yako
Ukionewa huruma sana ww blues
 
Etihad hupati kitu wale jamaa wana hasira na yeyote anaekuja mbele yako
Ukionewa huruma sana ww blues


Wewe Subiri uone mkakati Wa Mou! Ata Leo mlisema nafungwa! Tarehe 3 nawanyinga city ndani ya Etihad
 
Mkuu nimekuruhusu urudi darini ukajifuche usubiri siku hiyo na Wewe ukija Darajani ni kunyongwa tu!
Cc Mentor

wewe Daraja la makuti hilo me halinitishi waonee hao hao saizi ya newcastle, swansea na southapton.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom