juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Mount sio mara ya kwanza anafanya hivi.Inawezekana ikawa ni ngumu na tofauti tunavyoona ...pia inategemea na mchezaji pia[emoji23] hapo kama n modric au kina fabregas tiyari assist
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huyu na mcompare na Moyes wakat yuko na EvertonHapo vipi??View attachment 2514493
Our Player of the year for 2 seasonsMount sio mara ya kwanza anafanya hivi.
Naamini kwa pale kama Mudryk/Felix/James ile pale ni assist.
Ila assist ya Enzo, Mount angejarib kushoot au sideway pass[emoji24][emoji24]
Kwa performance ya Felix sitoshangaa Summer tukitaka kuextend loan o make it permanentOur Player of the year for 2 seasons
Enzo na Mudryk wataendelea kutuonyesha kuwa hatukuwa na squad ya kujidai nayo
Hahaaaaaa , yaani yule ni mwehu kabisa ,sijui ana nini yuleYule Cucu hata akipewa apige penalty anaweza geuka nyuma ili kumtafuta Silva, Badiashile au Kepa. Mjaribuni siku moja muone
Extension ya loan kwa mchezaji bora kama yule sahau, nina uhakika 100%, labda awe normal au aflopKwa performance ya Felix sitoshangaa Summer tukitaka kuextend loan o make it permanent
Huyu mzee bado yupo yupo sana[emoji23] yani ukifatilia press conference zake hana pressure kabisa
Ila mimi naamini huyu kocha hata kama wengi hatumuamini atakuja kufanikiwa na Chelsea kama atapewa uvumilivu wa namna hii.According to The Athletic-David Ornstein.
Uongozi wa chelsea hauna mpango wowote wa kumfukuza Potter, Wanaaminj Potter hawez kuhukumiwa kwa sasa hata kama team itashindwa kufudhu UEFA msim ujao. Vile vile bado wanaiman na Potter na wanaamini wana kocha bora.
Kalidou mnasema mfumo umemkataa hili Chelsea yenu saivi kwani Ina mfumo [emoji1787][emoji1787]Wachezaji na probability ya kuhama Chelsea 2023/24
- Pierre-Emerick Aubameyang 95% -Kapoteza mvuto wa kuichezea Chelsea
- Romelo Lukaku 95% - Kapoteza mvuto na sifa za kuichezea Chelsea
- Hakim Ziyech 80% -Kapoteza mvuto wa kuichezea Chelsea
- Callum Hudson-Odoi 70% - Kadorora sana kimchezo
- Christian Pulisic 70% - hana quality ya kuendlea kubaki Chelsea
- Kalidou Koulibaly 60% - Mfumo umemkataa
- Mason Mount 50% - Tatizo la mkataba
- Ngolo Kante 50% -Tatizo la mktaba
- Edourd Mendy 50% - Tatizo la mkataba
- Conor Gallagher 50% - Kukosa namba
- Ruben Loftas Cheek 30% - Kukosa namba