Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Todd lazima ajute kuinunua Chelsea kwa pesa zote zile.
Break Even itachukua miaka 20
 
Tunahitaji hadi Kante arudi ndipo tuanza kushinda au?
 
Mna bahati "kubwa jinga la wiki" atakuwa Arsenal ila nafurahi sana kuona mkiendelea kuteseka. 😂😂😂
 
Siku ya kwanza kumuona Cucurela anacheza THE BLUES nilisema huyu mchezaji

Anacheza kama ameliwa funza miguuni halafu mwoga sana.

Mkasema tumpe Muda.

Leo naona mnamponda.

Bahati nzuri siangalii mechi endeleeni kuteseka naye
Cucu zile match za mwanzo na tuchel alikuwa Bonge la mchezaji.

Ameshashinda na akina mason mount na kai saiv amekuwa kituko naye.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…