Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Wenye mawe huwa hawaogopi kupata hasara, kumbuka "the more you take risks the more you gain profits"Muliona Man City anafaidi nyie mkawa na papara
Kijana unaumia sana ukiambiwa ukweli😁Sasa mchezaji hakucheza tangu November 2022 afu unajitekenya na kucheka mwenyewe kweli?
Arsepimbi mnateseka sana [emoji1]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Anamfanya mudryk aonekane kapoa, hampi option kama james anazompa Madueke
Mzimu wa kuwatosa bado tu unawaandama, poleni kwa kuteseka.Arsenal were lucky not take Murdryk, not sure if he would have featured in the first eleven. He is an average player
Kweli kabisa, yani Beki ilikuwa imekatika kiujumla, pia bado James hajapona vizuri maana yuko slow sana.Goli la Emerson pia James anastahili kulaumiwa. Angemfanyia Emerson marking asingepata chance ya kufunga kirahisi
Goli la Emerson pia James anastahili kulaumiwa. Angemfanyia Emerson marking asingepata chance ya kufunga kirahisi
Ni kweli kabisa Mwana wane, lakini hakuna mchezaji yeyote pale Arsepimbi ataweza kulingana na Mudrick kiuboraKijana unaumia sana ukiambiwa ukweli[emoji16]
Unajinyea wewe amka kitandaniNi kweli kabisa Mwana wane, lakini hakuna mchezaji yeyote pale Arsepimbi ataweza kulingana na Mudrick kiubora
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
https://twitter.com/EPL072?t=pzJY2NFiNZZM-k6i6Z4fRw&s=09 ingia hii acc twitterNmetafuta link nmekosa
Dah! Limekataliwa
hakuna Penati pale acha urongo,baneni pumbu fungeni Magoli halali kama mna ubavuTumenyinwa penalti ya wazi kabisa