Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

umejitahidi kumuuza mgombea wenu, ila bado shida kubwa ya Jorginho ni individual mistakes hasa kwa timu zinzopress sana. may be playing style yenu itamfunika asifanye hayo makosa
 
ktk hawa wapya hakuna mwenye mshahara mkubwa, Weslei Fofana tu ndie alipewa mkubwa. Enzo sujui watampa ngapi ila hautakuwa mkubwa sana kwa kuanza haitazidi 100K
Wesley Fofana weekly Salary £230,000
 
ETI HII NIKWELI?

Hakim Ziyech ameshindwa kujiunga PSG ili acheze na Neymar, Mbappe na Messi baada ya viongozi wa Chelsea kutuma Documents fake kwa PSG na PSG kila walipouliza Chelsea juu ya documents original bado Chelsea waliendelea kutuma documents zile zile ambazo kuna vitu vingi havipo
 
Wamefany kusud tu
 
Sio kusudi, walikuwa bussy na Enzo
 
Mi naamini hawa wachezaji kwa style wanayofos kusajiliwa kuna jambo nyuma ya pazia Kina Boehly walienda wakawapa hawa watoto hela alaf watoto wakaomba kuhama
 
Asije akawa Lukaku Tu ,angalizo ,ingawa hatujawahi pata takataka toka pale benfica tangia tufanye nao biashara
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee hizi chuki za wazi kabisa

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hapana mimi ni Chelsea damu damu ila najaribu kuwaza nje ya box imagine sa iv kila mchezaji anaehusishwa na sis anafosi kuja yaani Chelsea imekua kama Madrid ikimtaka mchezaji lazma aje kwa inavyoonekana hawa wangekuwepo hata Hazard asingeondoka
 
Galgher atabaki labda miezi sita hii ashindwe kuonyesha uwezo wake, kwa style ya uchezaji wa Galagher anaweza kushirikiana sana na Enzo pale katikati kama akina Kante na Kovacic hawapo. Pia ni kiungo anayeweza kucheza advance position, ni mzuri kwenbye kupress na kukaba. Anachotakiwa kuimarisha kidogo ni umakini wakati wa kuyatekeleza hayo. Pia anatakiwa kuimarisha clinicality kwenye kupasi na kufunga
 
Mi naamini hawa wachezaji kwa style wanayofos kusajiliwa kuna jambo nyuma ya pazia Kina Boehly walienda wakawapa hawa watoto hela alaf watoto wakaomba kuhama
Project ndio imekaa vizuri na kimkakati. Ina dira, uendelevu na dhamira ya kushinda makombe
Wachezaji wote watajenga majina yao, Real Madrid na Barcelona sasa iko darajani. Hicho ndicho walichooneshwa na wakaiamini
 
Angalia tulivyonyanyasika kuanzia mwezi wa tatu mwaka jana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…