Huyu auzwe tuBreaking News:
Everton have submitted a bid to sign Conor Gallagher from Chelsea. It’s £40m proposal plus £5m add ons. Chelsea will make a decision soon as there are also other clubs interested in Gallagher — and player has to decide his future too.
View attachment 2500391
Hili jamaa ni king'ang'anizi sanaRUI COSTA:
Sema neno moja juu yake na kisha Enzo tunampata kirahisi
Mam@e zakeHili jamaa ni king'ang'anizi sana
Wafanye maamuz haraka ili tujue kama tunatafta mbadala au laaKuna taarifa kwamba sasa Benefica wako wamejitenga kufanya maamuzi ya aidha wakubali ofa ya Chelsea ya Eur 120M au waikatae. Ikikubalika hii itakuwa ni ada iliyovunja rekodi ya usajili nchini Uingereza
Waiting here we go mzeeeYaani kwa usajili huu, hata tukipigwa ban madirisha matano ni sawa tu
Waingia anga zetu tena round hii hawatoboiEti Barcelona wanamtaka Felix na wameshaanza mchakato wa kumsajili sasa kwa ajili ya dirisha la kiangazi
Atletico Madrid wao wanchotaka ni Paundi mil 75 kwa Felix