juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Mkuu sahiv tuko debt free, pato lingia kupitia sponsor,broadcasting right etc, vile vile kuna wachezaj watauzwa tu mbeleni ambao hawako katika mipango ya team depend na watakaoingiaHapo umezungumzia hela tunatoa lakini vipi kuhusu pato tunaloingiza je lipo sawa au pungufu na hela tunatumia kusajili wachezaji?
FFP inafanya kazi kwa arsenyeto tu....Tajiri wa chelsea Hana mbamba ,Hasara roho pesa makaratasi
Summer na Sasa kashatumia au anakaribia kutumia €550m-600m kwenye usajili tu
Anakaribia kumchukua Enzo Fernandes kwa €127m , tofaut na release clause yake ya €120m
Hajui msamiati NEGOTIATION
FFP isipoingilia Kati Kazi ipo, sio Roman Abromovic au Madrid waliowahi kufanya fujo hivi
Enzo ni DMYajayo yanafurahisha zaidi, eneo lenye shida miaka yote tangu akina Fab waondoke ni hilo hapo
Enzo yuko fit nyuma na kwenye kushambulia, natumaini atasajiliwa na mwingine calibre hiyo hiyo au zaidi
Anakaba na ni atacker piaEnzo ni DM
apo recce na chilwell ndo tegemeo[emoji29][emoji29]Wachezaji walioko Injuries na Return Dates kwa leo 31/12/2022
Total injuries = 7
Wengine ambao watachelewa kuwepo kwa sababu ya off ya wiki moja baada ya World Cup ni
- Reece James, majeruhi ya goti - anarudi tarehe 03/02/2023
- Wesley Fofana, majeruhi ya goti - anarudi tarehe 08/01/2023
- Ben Chilwell majeruhi ya paja - anarudi tarehe 05/01/2023
- N'Golo Kante, majeruhi ya paja -anarudi tarehe 04/03/2023
- Ruben Loftus-Cheek, majeruhi ya kwenye kisigino - anarudi tarehe 05/01/2023
- Armando Broja - majeruhi ya goti - hakuna muda maalumu wa kurudi
- Edourd Mendy - Majeruhi ya bega - anarudi tarehe 1/1/2023
- Hakim Ziyech - Off for one week - 01/01/2023
- Mateo Kovacic - Off for one week - 01/01/2023
- Carney Chukwuemeka majeruhi- Kaondolewa kwenye injury list
Na Kanteapo recce na chilwell ndo tegemeo[emoji29][emoji29]
Kwamba.....Brighton wabovu View attachment 2464817
Anajisaulisha kuku huyu
Our XI vs Bournemouth
Kepa
James Silva Koulibal Cucu
Jorg
Zach Mount
Sterling Havertz Pulisic
Sub
Bettinelli, Azpilicueta, Chalobah, Humphreys, Gallagher, Hall, Chukwuemeka, Hutchinson, Aubameyang.
Oya wazee kuna huyu dogo Marcus Bettineli mbona huwa hapewi nafasi ya kucheza ? Hivi huwa anacheza nafasi gani huyu ?