Yajayo yanafurahisha zaidi, eneo lenye shida miaka yote tangu akina Fab waondoke ni hilo hapo
Tajiri wa chelsea Hana mbamba ,Hasara roho pesa makaratasi
FFP, haihusiki hapo, coz ni malipo hayalipwi yote kwa wakat mmoja,Tajiri wa chelsea Hana mbamba ,Hasara roho pesa makaratasi
Summer na Sasa kashatumia au anakaribia kutumia €550m-600m kwenye usajili tu
Anakaribia kumchukua Enzo Fernandes kwa €127m , tofaut na release clause yake ya €120m
Hajui msamiati NEGOTIATION
FFP isipoingilia Kati Kazi ipo, sio Roman Abromovic au Madrid waliowahi kufanya fujo hivi
Kwenye vitabu inaonesha mmelipa €127m ,sema tu labda Ni Aina tu structure ya ulipajiFFP, haihusiki hapo, coz ni malipo hayalipwi yote kwa wakat mmoja,
Ndio maana kwa Enzo tunataka tulipe juu ya RC yake, ili tulipe kwa awamu
Yap,structure tofauti,Kwenye vitabu inaonesha mmelipa €127m ,sema tu labda Ni Aina tu structure ya ulipaji
Na dogo kasema YES[emoji106]
Mjini kuheshimiana bana, tuzubae mje kutusodoa hapa. Yaani tukianza kuchanja mbuga hatuangalii uso, tunaua tu mmoja baada ya mwingine hadi kila goti lipigwe kwa ChelseaTajiri wa chelsea Hana mbamba ,Hasara roho pesa makaratasi
Summer na Sasa kashatumia au anakaribia kutumia €550m-600m kwenye usajili tu
Anakaribia kumchukua Enzo Fernandes kwa €127m , tofaut na release clause yake ya €120m
Hajui msamiati NEGOTIATION
FFP isipoingilia Kati Kazi ipo, sio Roman Abromovic au Madrid waliowahi kufanya fujo hivi
Shida ninayoiona boss wenu ana viashiria hamsikilizi Sana mwalimu, kifupi mwalimu Hana final decision .Mjini kuheshimiana bana, tuzubae mje kutusodoa hap. Yaani tukianza kuchanja mbuga hatuangalii uso, tunaua tu mmoja baada ya mwingine hadi kila goti lipigwe kwa Chelsea