kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,179
- 21,832
Bellingham nieither city or MadridTajiri wa Chelsea anataka kutumia £250m awe na kiungo hiki [emoji1787][emoji1787]
Hi Chelsea itakuja kuwa Kama Burney
Hawa wachezaji Ni Overrated tu
Sasa wamekutana na Viungo wa U.S.A
Yunus Musah Tyre Adams na Weston mackenie
Hao Viungo wa uingereza ulimi nje ...
Sasa bosi wa Chelsea UNAAMBIWA anapambana ampate Jude na Rice Hawa wote Ni jumla £250m
Kama huyu Bellingham very very Overrated
Mount hakuna asiyemjua sometime YES sometime OK
View attachment 2427555
Halafu Ni mchezaji wakawaida tuMason Mount rejected £200,000-a-week contract offer before World Cup
Sijui mnawaleaje wachezaji hapo Chelsea ,Mount sio wakugomea £200k per weekHii yote imesababishwa na kutokuwa na wachezaji wa caliber ya juu mpaka madogo wa viwango vya kawaida wanataka mishahara caliber ya KDB
We jamaa sijui siku hizi umekuaje?Dogo akipata uzoefu atakuwa bonge la mchezaji.
Huyo jamaa kweli ukimuangalia kweli atakuja kuwa bonge la mchezaji? au ulikua unatania.Hahaha kwanini chief?
Bodi imempa Reece James mkataba wa £250k kwa week....kwanini mount asipewe zaidi au kama hiyoSijui mnawaleaje wachezaji hapo Chelsea ,Mount sio wakugomea £200k per week
Kwa maoni yangu Reece ni bora zaidi alafu zingatia nafasi anayocheza inawachezaji wachache sana wa aina ya James.Bodi imempa Reece James mkataba wa £250k kwa week....kwanini mount asipewe zaidi au kama hiyo
Leo amekiwasha sana. Sio yeye tu Chelsea ndiko kwenye shidaDah huyu Ziyech wa Morocco tofauti na yule Ziyech wa THE BLUES aliyempiga makofi kocha Tuchel mazoezini.
Muda wote wanapasiana mpira mabeki, ataupata mpira saa ngapi akiwashe, chelsea ndio iko na shida.Leo amekiwasha sana. Sio yeye tu Chelsea ndiko kwenye shida
Sasa opponent kama Belgium walio wazee wasikufanye udanganyike na kiwango chake. Tunahitaji consistency sio fluke form leo Hakimi hakuwa na mchezo mzuri haimaanishi ni right back mbovuLeo amekiwasha sana. Sio yeye tu Chelsea ndiko kwenye shida
Vyovyote itakavyokuwa. At the end of the day kuna shida Chelsea. Viwango vya wachezaji wengi vinakufaSasa opponent kama Belgium walio wazee wasikufanye udanganyike na kiwango chake. Tunahitaji consistency sio fluke form leo Hakimi hakuwa na mchezo mzuri haimaanishi ni right back mbovu