Group la chelsea uchambuzi wa Manchester tabu kweli kweliTurudi kwenye uchambuzi wa soka hasa mimi nimuelezee tena Christian Eriksen
Tulipohoji kwa nini Chelsea haikumchukua huyu mheshimiwa na alikuwa bure sokoni, kuna watu hapa hata hawajui mpira wakamponda sana
Ericksen kaibadilisha ile attacking department ya Man U na jana alihusika na magoli yote matatu
Alitoa pasi nzuri kabla hajafanyiwa rafu kwa Bruno ambaye naye alimpasia Rashford aliyempa assist ya kijanja Antony kufunga goli la kwanza
Alianzisha move kupeleka mpira kwa Bruno ambaye naye akamuassist Rashford kufunga goli la pili
Pia Ericksen alichomoka vizuri bila kuotea bila ubinafsi akampa assist Rushaford kwa goli la tatu
For me man of the match ni Eriksen kwa mechi ya jana
Mada ya uchambuzi iko related na Chelsea sio manyumbu, unasomaga tu first line halafu unahukumuGroup la chelsea uchambuzi wa Manchester tabu kweli kweli
We umeshonwa leo... kaa kwa kutulia.
wewe kama unahisi tinabebwa leta kitimu chako uone tutakavyokushona.Chelwowowo na nyumbu yanabebwa sana na VAR ipo siku
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Hatuwezi kufungwa na nyumbu hilo haliwezekani.Nyie cheltako mmeona arsenyeto alichofanywa na nyumbu sasa endeleeni tu kufuga matako
Hongera zake, the best deal for the best player. Atakaa hadi 2028 sio 27Breaking news
Reece james amesaini mkataba na Chelsea leo wa miaka 6 ambao utamfanya mkataba wake uishe mpaka 2027 ambao utamfanya kuwa beki mwenye kulipwa mshahara mkubwa ndani ya chelsea atakuwa akipokea mshahara wa pounds 250000 ( Pounds laki mbili na nusu) kwa wiki.View attachment 2346442
Kwahiyo jamaa alibakisha miaka 2 au sio?Hongera zake, the best deal for the best player. Atakaa hadi 2028 sio 27
Ilikuwa inaisha 2025, walimuwahi tu baada ya Real Madrid kutangaza niaKwahiyo jamaa alibakisha miaka 2 au sio?
Itachezwa saa mbili kasoro usiku saa za huku kwetu. Zagreb iko lisaa limoja nyuma yetu kwa hiyo huko watacheza saa moja kasoro usikuKikos cha wachezqj 23 kimesafir kwenda zagreb kwa ajili ya gw1 ya uefa
Mchezo unatarajiwa kupigwa kesho majirq ya saa 19:30hr
Thiago silva hajasafiri na tim huku Aubameyang,zakaria,chukwumeka ni miongini mwa waliosafir na tim
Ushasahau kama game ya mwisho nilikushona 4[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe kama unahisi tinabebwa leta kitimu chako uone tutakavyokushona.
Auba nae atavaa mask.
19:45Itachezwa saa mbili kasoro usiku saa za huku kwetu. Zagreb iko lisaa limoja nyuma yetu kwa hiyo huko watacheza saa moja kasoro usiku
Me nmeshawahi kukushona 6 usijisahaulisheUshasahau kama game ya mwisho nilikushona 4[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Hapa Rudiga Amesahaulika