Pumbavu, kumbe umeliona hilo enhee!Man shitye amedroo uko ..kila timu Ina struggle kupata ushindi, liverkuku amedroo ..saiv hakuna Cha timu ndogo wala kubwa.
Poa mchizi boti, tukutane kibanda umuza, nina jambo nataka kulitenda mida ya jioni hii.Sasa mchiz boti tusipoingia top Foo Nana mwingine ataingia? Manure? Spurs? Hiyo top Foo itakuwa Ni batili mzee..[emoji3][emoji3][emoji3]
Kocha Rogers Hana maisha marefu anaweza akatimuliwa kwa mechi ya Leo au ijayo anafukuzwa kazi. Goli 5 sio mchezo na kiujumla timu goigoi sanaPumbavu, kumbe umeliona hilo enhee!
Ligi ya msimu huu bado haija eleweka.
Naona maajabu hapa Lecester anapasuka 4 kwa 2 hapa na haka katimu duanzi BHA.
Ligi ya msimu huu hata akichukua Brentfood sinta shangaa.
Hahahaha kazi imeishaaa ..hahahaPoa mchizi boti, tukutane kibanda umuza, nina jambo nataka kulitenda mida ya jioni hii.
Siunajua siku hizi tunaangali pointi tatu, ngoja nikachukue pointi 3 zangu kwanza.
Wameshakushona...,Katulie kwenye kijukwaa chako cha mchongo...Ukiona majadiliano ya humu utasema wana bonge la timu...
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Hiyo haiwezekani kupokwa point wataomba radhi na kufanya marekebisho kwenye VARNaskia body ya ligi wameagiza maamuzi ya var ya kuwanyima West Ham goli la pili la kusawazisha liangaliwe upya, tusishangae tukanyang'anywa ushindi na kupewa sare.
Na watu wa VAR wamekubali hilo ombi la kupitia hizo videosHiyo haiwezekani kupokwa point wataomba radhi na kufanya marekebisho kwenye VAR
Hakuna kitu Cha namna hii kwenye football,hapa atakayeliwa kichwa ni referee tu ....Naskia body ya ligi wameagiza maamuzi ya var ya kuwanyima West Ham goli la pili la kusawazisha liangaliwe upya, tusishangae tukanyang'anywa ushindi na kupewa sare.
Mambo hayo yanatokea huku kwetu undengerekoni tu, huko Duniani mambo hayo hayapo.Naskia body ya ligi wameagiza maamuzi ya var ya kuwanyima West Ham goli la pili la kusawazisha liangaliwe upya, tusishangae tukanyang'anywa ushindi na kupewa sare.
Sidhani kama watafanya hivyo, watafanya kwa maboresha sio kubadili matokeo. Na hata wakichunguza ni kweli Mendy aliparuzwa na kupigwa kifuani na Bowen tena kwa makusudi ili asifuate mpira. Nashnag kwa nini refa hakumpa hata njanoNaskia body ya ligi wameagiza maamuzi ya var ya kuwanyima West Ham goli la pili la kusawazisha liangaliwe upya, tusishangae tukanyang'anywa ushindi na kupewa sare.
Kwa nini aliwe kichwa, wataliwa vichwa wangapi, hicho kitu hakipo kwenye soka. Kama watagundua madhaifu ni ili waboreshe sheria za VAR basi ikaishia hapo. Ingekuwa ni hivyo Antony Tylor angeshaliwa kichwa chake mara nyingi huko nyumaHakuna kitu Cha namna hii kwenye football,hapa atakayeliwa kichwa ni referee tu ....
Mara ya mwisho nilikushona wewe 4 so kaa utulieWameshakushona...,Katulie kwenye kijukwaa chako cha mchongo...
Chelwowowo na nyumbu yanabebwa sana na VAR ipo sikuNaskia body ya ligi wameagiza maamuzi ya var ya kuwanyima West Ham goli la pili la kusawazisha liangaliwe upya, tusishangae tukanyang'anywa ushindi na kupewa sare.
Naunga na wewe Ben chilwel ameprove kwamba yeye ni mchezaji wa kipekee sana.Maoni juu ya mechi ya Jana by the way tulicheza kawaida Sana lakini Westham walitufanya tuonekane tumecheza ovyo kupita maelezo na hii ni kwasababu ya aina ya uchezaji wa Westham.Westham ndio team ninayoichukia Sana pale England inapack container la maana ukiwa unawashambulia wanarudi wachezaji wote nyuma wanabaki na striker mmoja tu mbele ndio maana njia nyingi zinakuwa zinazibiwa sisi tulitakiwa tukubali kutake risk kwa kuwalazimisha kuliko kurudisha mpira nyuma na kupiga side passes.
Tushukuru Benchilwell ametuokoa niliwahi kusema humu humu jamiiforum ben akiwa fit huyo Cucurella hawezi kumuweka benchi na si yeye pekee ligi nzima hamna left back mwenye ubora kumzidi Benchilwell watu wakanishambulia humu wakisema Cucurella kashachukua namba.Kwanini nilitoa ile kauli Benchilwell sio tu left back ni footballer hii kauli inamaana gani? Mtu mwenye kuelewa mpira na anaujua mpira vizuri ndio maana baada yakupata injury tulikosa mbadala wake aliikost team kwasababu ukiachana na kujua kukaba, hasa anapoenda mbele anageuka kutoka kuwa lwb pekee anakuwa anacheza kama attack midfielder anafanya movement ndani ya box zenye akili kitu ambacho kinasaidia kutengeneza space kwa wachezaji wengine na kuzifungua team zinacheza defensive game na ndio maana baada ya yeye kuumia tulistruggle Sana kwa team zinazocheza defensive game.
Papaa Gx
juan david
Kilichowaponza wenzako ni midomo, naona na ninyi mmeanza wakati hata timu hakunaNyie cheltako mmeona arsenyeto alichofanywa na nyumbu sasa endeleeni tu kufuga matako