Nyie kenge naona sasa hivi mnashindana na nyumbu kukata mauno uwanjani.Kama tutashinda ni Kwa hisani ya mabeki
Tukutane MayHamna timu ya kuingia top 4 this season Rubbish [emoji1005]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hamna timu ya kuingia top 4 this season Rubbish [emoji1005]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
hata kama kwa nini atujascore nyingi wakati nafasi zilikuwapoAnthony Tylor[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Yani nashangaa why Romero hakupewa hata Red kwa kumvuta nywele Cucurella,
Tumecheza game nzuri sana ila refa katuumiza sana,
Bonge la mechi, tumeimprove sana ukilinganisha na ile mechi ya Everton
Chelsea akicheza mashabiki wake wanavaa blauz na bikini [emoji160] kisha wanashindana ku twerk.Bonge la mechi, tumeimprove sana ukilinganisha na ile mechi ya Everton
Ndio shida ya kukosa wafungajiWamechomowa
Na Jorginho katuuzaAnthony Tylor[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Yani nashangaa why Romero hakupewa hata Red kwa kumvuta nywele Cucurella,
Tumecheza game nzuri sana ila refa katuumiza sana,
Mkuu issue ya kuscore ni shida ila kwenye game ambazo huwa yuko Anthony Tylor + Mike dean huwa tunaonewa sana kwenye maamuzi.hata kama kwa nini atujascore nyingi wakati nafasi zilikuwapo
Yeah jorginho katuuza pale, ila before that Refa ameshatuuza why isiwe foulNa Jorginho katuuza
Wamekula umeme woteTT amehakikisha CONTE amekula umeme
TT amehakikisha CONTE amekula umeme