Alafu barca wamepeleka ofa ambayo ni chini ya euro 60 ambayo Chelsea wametoa, Kiufupi wachezaji wa america hasa Brazil huwaambii kitu kuhusu Barca na MadridToo funny how Chelsea agreed a fee for Raphinha since last month and the guy just ignored them and has been waiting for Barcelona [emoji24]
Huyu Ake ni spana mkononi hachezi mechi 10 mfululizo bila kuumia na kurudi kitandaniPep anamuuza Ake aliyekaa bench misimu miwili kwa £45m , anaongeza 10 anaenda kumvuta Pau Tores
Ake wa kuuzwa £45m ? Anabebwa na performance ya timu?
De ligt mkaa bench Eti anauzwa €80m , beki toka atoke Ajax alisahaulika ktk raman ya soka
Shukurun Sana Baryen kaingilia kati ,ilikuwa mpigwe na Kwa De ligt
Boss wa Chelsea atapigwa za uso mpaka dirisha lifungwe
Barcelona wanataka kukomba beki zote za Chelsea [emoji1787][emoji1787] Alonso, Cesar, Christsten,
Wanawaachia Mallang sarr na chalobah na babu Silva
Halafu mnamuongeza na AKe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
@lembuHabari za de jong kwenda Chelsea ni rumours tayari huyo Mchezaji kashakubali kuungana na bosi wake wa zamani Ten hag kinachofanya hadi sahiv kicheleweshe deal ni kuwa de jong anaidai Barca anahitaji alipwe kabla hajaama mana akiondoka anahesabika siyo tena Mchezaji wa Barca hivyo hatolipwa inakisiwa ni kiasi cha 20 euro [emoji387] anachowadai barca hayo ni makato ya kipindi kile cha coronavirus au covid 19
Ake akija pale arsenyeto hawezi kuwekwa benchi na vikina gabriel na cjui Ben mweupe ...Tuchel naona kampenda kwasababu ya versatility yake anaweza akakichafua hata leftback... sterling na kosakosa zake za magoli kuna arsenal player gani WA sahv anaweza akamatch numbers zake?[emoji23]Subiri combination ya malang sarr na AKe
Na kosakosa za magoli za Rahim Sterling
Make kwanza nicheke[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivyo vitu ndo tuanze kutegemea madirisha ya msimu ujao tukiwa tiyari na sporting director maana ndo priority ya bwana boehly...Kwa awamu hii kidogo mambo yanaenda Kwa kulegalegaMi naona sasa hivi miaka ya karibuni ulaya Hamna real football talents , yapo magalasa Tu yanayokuwahyped na maagent ili kuuzwa Kwa bei kubwa lakini Hamna kitu , huyo Sterling ,Ake na wajinga wengine ndio WA kuuzwa Kwa hiyo BEI ? Au Yule beki kilaza WA juve ? ,Huu ujinga Huu ndio unaziangamiza timu nyingi ,ndio Yale Yale ya Lukaku , mi napenda philosophy ya Liverpool ,wako makini ,na wananunua real talents at a genuine price angalia sajili zao zote ,Ila Chelsea sasa ,duh ! ,Wananunua matakataka mpaka aibu tunaona Sisi mashabiki.
Hivi hawa wajinga wameshindwa hata kufanya scouting Kule America kusini ?
Versatility labdaTuchel kwa Ake yupo against mashabiki sasa huyo average player wake sijui ana nini special compare to Torres. Alafu tunafikiria kuclose gap na city kwa kuchukua scraper zake.
Epl yetu mkuuuYani hiki kikosi kweli tutatoboa msimu ujao View attachment 2285363
TT hakuna kitu pale mie nasema hata akipewa mamlaka ya kusajiri atachukuwa uchafu bora atafutwe DOF Mapema la sivyo tutateseka na hutu mcheza kamali TTHivi kweli tumekosa wachezaji mpaka tukamchukue Ake.!?
Mkuu wangu mtake radhi TT profile yake ni miongoni mwa top coaches duniani kwa sasaHata huuo TT NI AVERAGE MWALIMU HUWEZ MTAKA MCHEZAJI WA HOVYO KABISA YULE
Huenda kuna kitu tuchel amekiona kwake, hata Rudiger,Christeansen wamekuwa bora chini ya Tuchel.Hata huuo TT NI AVERAGE MWALIMU HUWEZ MTAKA MCHEZAJI WA HOVYO KABISA YULE
Taarifda nyingi zinasema De Jong hayuko tayari kucheaza Europa na hataki kuhusishwa na ManureHabari za de jong kwenda Chelsea ni rumours tayari huyo Mchezaji kashakubali kuungana na bosi wake wa zamani Ten hag kinachofanya hadi sahiv kicheleweshe deal ni kuwa de jong anaidai Barca anahitaji alipwe kabla hajaama mana akiondoka anahesabika siyo tena Mchezaji wa Barca hivyo hatolipwa inakisiwa ni kiasi cha 20 euro [emoji387] anachowadai barca hayo ni makato ya kipindi kile cha coronavirus au covid 19
Manure imekuwa timu ya kukimbiwa na wachezaji, kweli mna kazi ya kuifufua timu na msipoangalia mtateremka daraja msimu ujao@lembu
Nimeenda pekua tayarinenda kapekue, Taarifda nyingi zinasema De Jong hayuko tayari kucheaza Europa na hataki kuhusishwa na Manure