Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea have 15 minutes to claim the first trophy.... God help!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
😥......sad for Lukaku,
Best penalties all sides.
Hehe...
 
Leo John Terry kaogopa kupiga Penalties ee? Peasant, salaam zao kaka
 
Last edited by a moderator:
Oops, Lukaku. Oops, Chavs.
Hiyo ilikuwa penalty ya viwanja vya shule za msingi.

Cha kushangaza Lukaku anashangaa kwa nini hakufunga goli kwa penalty yake.
 
Special one anasema the best team lost...............hatari sana
 
Mentor na leo simu haikuwa na chaji?!? Unaogopa sana mechi chifu; take it easy.

Hongera kwa kupaki basi lililokuwa limeshindikana kubomolewa mpaka dakika ya 121!!

Ndiyo maana nilikwambia, kwa kupaki basi tu, Mourinho hana mpinzani. Mchezo wa kupaki basi anauweza kwelikweli.
 
Last edited by a moderator:

taratibu tu utaelewa vizuri maana yake jinsi siku zinavyosogea
 
Leo John Terry kaogopa kupiga Penalties ee? Peasant, salaam zao kaka



Umesikika mkuu. Inauma kwa jinsi tulivyofungwa. Mechi ilikuwa tayari kibindoni Dante kaharibu weekend. Anyway, the best team lost.
 
Last edited by a moderator:
Inauma kwa jinsi tulivyofungwa. Mechi ilikuwa tayari kibindoni Dante kaharibu weekend.

Chifu, pole na uchungu. Kweli imekuuma, mpaka umesahau aliyewaumiza!! Siyo Dante aisee ni Martinez...

Anyway, the best team lost.

Hahahaha...naona unaanza kuathirika na uchizi wa Mourinho!!! The best team gani? Chelsea? Na mpira ule wa kupaki treni?!?
 
We Nzi weye Wacha kuwachema vibaya Chelsick, wenzio wamekula matapishi yao chacha utawaambia nini? Ukiona kichaa anatembea uchi na kutangaza amevalia maridadi chi unamtkodolea macho tu! Shauri yako .... .... .... . khe khe khe khe khe khe khe khjeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW Achikuchikie Invisible utakula ban ya chap chap khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee







Does he look happy?





khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee nicheke mie!





Unaniumiza weye!





Mama mia!




Peas of ants walikuwa wanachungulia tu khe khe khe khe khe
Rev. Kishoka njoo bana .. ... kushehereka Invisible kaunyuti.​
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…