Willian from Lile hii Chai hii nipe na andazi kabisaChelsea ina kismati na ligi ya ufaransa kwanini tusielekeze nguvu huko?
Drogba from Marseile
Hazard from lile
Willian from Lile
Mendy from Rene
Silva from PSG
Petr Cech from Rene
Michael Essien from Lyon
Willian hatukumtoa ufaransa, rekebisha hapoChelsea ina kismati na ligi ya ufaransa kwanini tusielekeze nguvu huko?
Drogba from Marseile
Hazard from lile
Willian from Lile
Mendy from Rene
Silva from PSG
Petr Cech from Rene
Michael Essien from Lyon
RussiaWillian hatukumtoa ufaransa, rekebisha hapo
Unafurahia eh
Fabinho hayuko majeruhi mbonaNimeumia kwa kuumia Fabinho
Sasa Kwan Mzee si kuna games nyingine huko mbeleni bado zimebaki...kwahyo spurs wakishinda na Sisi top 4 ndo basi?Watakaoinyima Chelsea top 4 ni Spurs wakishinda kesho
Wakitoa droo au wakafungwa na Arsenal basi Chelsea automatically in top 4
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Willian from Lile hii Chai hii nipe na andazi kabisa
Report zimetoka anakosekana hyo finalFabinho hayuko majeruhi mbona
Too bad, angekuwepo angetupatia angalau penalti mojaReport zimetoka anakosekana hyo final
Umenielewa vibaya au mimi nimeunda sentensi vibayaSasa Kwan Mzee si kuna games nyingine huko mbeleni bado zimebaki...kwahyo spurs wakishinda na Sisi top 4 ndo basi?
Atapigwa tu mkuu wala usiwe na wasiKesho son ana brace za chinichini kabisa nakupa hyo
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nahisi kikubwa summer lukaku awe fit kwenye pre season, kama pre season ikaenda vizuri na kuweza kulinl up na wachezaj wote hopeful msim ujao atadeliverTT akiendelea kumuamini Lukaku
Wachezaji wenzake wakimuamini na kuacha uchoyo
Wakaendelea kumpelekea mipira mingi Lukaku msimu ujao atafikisha 20+ goals
Tatizo kubwa la Chelsea na kocha ni kutoacha tabia ya uchoyo na too much back passes
Naamini kwa jinsi Liverpool wanavyocheza Lukaku akienda huko atakywa goal scoring machine kubwa
Awa watu wametumwa na Liverpool fansView attachment 2221067
Uchezaji pia ubadilike, game mbili za mwisho Chelsea wamekuwa wakimpelekea Lukaku mipira mingi, waendelee hivyo hivyo msimu ujaoNahisi kikubwa summer lukaku awe fit kwenye pre season, kama pre season ikaenda vizuri na kuweza kulinl up na wachezaj wote hopeful msim ujao atadeliver
Russia
Football Club Anzhi Makhachkala
Binafsi nina amin kwenye uwezo wa lukaku,TT akiendelea kumuamini Lukaku
Wachezaji wenzake wakimuamini na kuacha uchoyo
Wakaendelea kumpelekea mipira mingi Lukaku msimu ujao atafikisha 20+ goals
Tatizo kubwa la Chelsea na kocha ni kutoacha tabia ya uchoyo na too much back passes
Naamini kwa jinsi Liverpool wanavyocheza Lukaku akienda huko atakywa goal scoring machine kubwa