Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Vs Everton
-------- WERNER ---- KAI ----- MOUNT ----------
ALONSO ---- JOGNHO ---- KANTE --- JAMES
--------- RUDGER ------ SILVA ----- AZPI -----------
[emoji117] Everton wapo kwenye mstari wa kushuka daraja. Hizi mechi za mwishoni wamekuwa wanacheza kwa kujituma sana kwenye kukaba na kushambulia bahati mbaya wameshindwa kuwa clinical mbele ya goal.
[emoji117] Niliangalia mechi yao ya mwisho vs Liverpool. Ilikuwa mechi ngumu ingeweza kuisha draw, ila Liverpool walitumia uwezo binafsi zaidi wa wachezaji wao kushinda mechi
[emoji117] THE BLUES tuna safu mbovu ya ushambuliaji, not clinical na sio katili mbele ya goal + Morale za wachezaji zimeshuka mno + uchovu.
[emoji117] Naona tukipata aibu nyingine ya kudondosha POINT.
Robert Lewandosky goals in 2021/22
Goals = 55
Assists 8
Goal Involvment = 63
Age = 33yo
na bado kazi inaendelea
You are right, Everton is in danger, watacheza kwa kujilinda sana na kaunta za nguvu na mechi pekee naiona ngumu kwa Chelsea ni dhidi ya Everton, hizo zingine tuamua kushindwa wenyeweVs Everton
-------- WERNER ---- KAI ----- MOUNT ----------
ALONSO ---- JOGNHO ---- KANTE --- JAMES
--------- RUDGER ------ SILVA ----- AZPI -----------
[emoji117] Everton wapo kwenye mstari wa kushuka daraja. Hizi mechi za mwishoni wamekuwa wanacheza kwa kujituma sana kwenye kukaba na kushambulia bahati mbaya wameshindwa kuwa clinical mbele ya goal.
[emoji117] Niliangalia mechi yao ya mwisho vs Liverpool. Ilikuwa mechi ngumu ingeweza kuisha draw, ila Liverpool walitumia uwezo binafsi zaidi wa wachezaji wao kushinda mechi
[emoji117] THE BLUES tuna safu mbovu ya ushambuliaji, not clinical na sio katili mbele ya goal + Morale za wachezaji zimeshuka mno + uchovu.
[emoji117] Naona tukipata aibu nyingine ya kudondosha POINT.
Farmers League
Tazama hata Champion League sikuhizi Timu anazozifunga ni za Farmers Leagues.
Mwaka juzi tulipokutana CL alishindwa kubahatisha hata la offside.
View attachment 2206384
La offside kama hili?
Yule ni mchezaji wa Chelsea ameenda Crystal Palace kwa mkopo ivyo lazima arudi darajani msimu ukiishaNdugu zangu, msimu ujao Gallagher atarudi darajani au.?
Nakuwaga makini sana kwa comment na efgects zake. Effect ya comment yangu normal kabisa wala haina uzito wowote na pia ina minimal effect whatsoever kwa sababu mhusika na relative wake wako dunia nyingineChief nakuheshimu sana, nadhani uwe unapima uzito wa comments zako kabla hujapost. USHAURI WA BURE.
Uko sahihi, sio sawa kufurahia mtu mwingine anapopatwa na shida.Chief nakuheshimu sana, nadhani uwe unapima uzito wa comments zako kabla hujapost. USHAURI WA BURE.
Chief nakuheshimu sana, nadhani uwe unapima uzito wa comments zako kabla hujapost. USHAURI WA BURE.
Confirmed: Todd Boehly has won the race to buy Chelsea in a deal worth more than £3.5billion, despite a dramatic late hijack attempt from Britain’s richest man Sir Jim Ratcliffe | @Matt_Law_DT @SamWallaceTel and @Tom_Morgs #cfc Todd Boehly group wins race to buy Chelsea despite Sir Jim Ratcliffe's 11th-hour bid
Kwani chief hapo maneno gani nimekosea au kufurahia kama wengine walivyoni-understood vibaya na kuanza kunya maneno ya hovyoChief nakuheshimu sana, nadhani uwe unapima uzito wa comments zako kabla hujapost. USHAURI WA BURE.
Kweli kabisa. wakati ule hawakuwa kwenye presure tunashindwa kuwafunga, leo wako kwenye presure kubwa ya kushuka daraja, naona kama watakuwa agressive kama mbogo na Chelsea tukiendeleza ule umayai wetu na uzembe wa kijinga jinga tutatoka kapa bila hata point mojaLeo tunacheza na Everton, katika miaka ya hivi karibuni tumekuwa tukipata matokeo mabovu pale Goodison Park,
Misim mitatu iliyopita tumepoteza game zote pale goodison park kama kumbukumbu zangu ziko sawa