John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Inaenda extra hii Mzee...magoli ya ugenini yameshatolewaau wao watapita
Magoli ya ugenini siku hizi hakunaau wao watapita
Mkuu nakuona hapo jinsi kamoyo kanavyoenda.[emoji1787][emoji1787]Kivipi tunapita mkuu? Saiv hakuna goli la ugenini Mzee..
Hata mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama weeee hii sio Madrid nayoijua nakataa haya matokeo
Hata wao walishinda 3 kwa 1 DarajaniKivipi tunapita mkuu? Saiv hakuna goli la ugenini Mzee..
Yani tukipita hapa mutatukoma sisi ma fans Bora kabisa wa Chelsea. 😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hupoteagi eeeh??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ollachuga bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu saidia mfungwe[emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji1787][emoji2960]Yani tukipita hapa mutatukoma sisi ma fans Bora kabisa wa Chelsea. [emoji3][emoji3][emoji3]
Naona unakomaa na sofascore [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leoo mapemaaaa Niko jamvini apaaa hahahahah woyoooo walete kati hao watoto mchele Michele ..sisi ndio mabingwa watetezi bana hahaha ..embu apo ncheke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Ollachuga bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona unakomaa na sofascore [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahha sisi ni wazee wa kucheza na laivu scoo tuu ..mechi Kaa iz zenye puresha tunaekaga pembeni😂😂😂Yaani mwanaume mzima hadi Mimi nakushinda aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi mwenzio ya City niliangalia.. sasa ungekuwa wewe si ungezimia kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa jiinsy mulivotunanga nakwambiya tutaleta mashambulizi ya kufa mtu hahahaha aise mpira ni Raha sana..waambiye wadada wenziyo Raha ya kuwa Fan wa mpira, hasa klabu kama Chelsea hahaha😂😂😂Mungu saidia mfungwe[emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji1787][emoji2960]
Utatusumbua sana
Kwa iyo tunaenda extra taimu mkuu??Pulisic kakosa nafasi nzuri imepotea kwenye dakika za lala salama
DaaahPulisic nafasi ya pili ya wazi kakosad