John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Na si tuanze kukukumbusha mechi ukizokula bao 4 kuanzia Leicester, Watford, liverPUNGA, hatutamaliza hapa[emoji1787]Binadam ni wepesi wakusaau mambo haraka ngoja tujikumbushe kidogo.[emoji16][emoji16]View attachment 2174042
Daah,una force furaha Kwa Kipigo Cha the bluez[emoji13]Binadam ni wepesi wakusaau mambo haraka ngoja tujikumbushe kidogo.[emoji16][emoji16]View attachment 2174042
Acha ujingaBinadam ni wepesi wakusaau mambo haraka ngoja tujikumbushe kidogo.[emoji16][emoji16]View attachment 2174042
Plan nzuri ..Ila hizi zisije kuwa siasa Tu maana kila bidder atakuja na plan nzuri za kuvutia mwsho WA siku wakikabidhiwa timu waanze iendesha kifaida.....Rickett family leo hii wametangaza plan yao endapo wakifanikiwa kuwa wamiliki wa chelseaView attachment 2174231
Hawa wote naona ni wanasiasa, ngoja tuone wakishapata wanachokihitaji, summer ndio itakuwa mtihan wa kwanzaPlan nzuri ..Ila hizi zisije kuwa siasa Tu maana kila bidder atakuja na plan nzuri za kuvutia mwsho WA siku wakikabidhiwa timu waanze iendesha kifaida.....
Hizo ni propaganda ukiondoa may be no 5. hizo zingine zimelenga kukosha nyoyo za mashabiki wa Chelsea ili wapunguze kuwapingaRickett family leo hii wametangaza plan yao endapo wakifanikiwa kuwa wamiliki wa chelseaView attachment 2174231
Hakun sehemu niliyosingizia Mgogoro. Hizo ni interest zako mwenyewe. Mimi nimekubali matokeo na nimeyapikea vilivyo. Rudi ukasome tena.Mtasingizia mgogoro... Mwezi huu mpaka mtubuu.
Hapo haujakutana na gunnerz,Hammerz na Wolves
Vipigo havijaisha ndo maana nikasema mtasingizia mgogoro ndo chanzo cha vipigo.Hakun sehemu niliyosingizia Mgogoro. Hizo ni interest zako mwenyewe. Mimi nimekubali matokeo na nimeyapikea vilivyo. Rudi ukasome tena.
Sawa mkuu.Vipigo havijaisha ndo maana nikasema mtasingizia mgogoro ndo chanzo cha vipigo.
Mtoe sarr apoBest 11 for Real Madrid View attachment 2175612
Ttzo Alonso uchochoro sanaMtoe sarr apo
Alonso uchochoro lakini huyo sarr mzito kama kirobaTtzo Alonso uchochoro sana
Alonso is a good bet than Sarr, waacheni hao watoto wapate uzoefu kwanza. Kocha ampe tu maelekezo huyo Alonso. Asiposinzia uwanjani Alonso ni good WingbackSarr anakaba Sana kuliko Alonso Ttzo lake kwenye kushambulia, sio complete fullback
Sar hata kutoa pasi hajui na ni uchochoro, anacheza rafu za kipuuzi, ni mchezaji wa hovyo kuwahi kutokea. Bora Alonso mara 800Sarr anakaba Sana kuliko Alonso Ttzo lake kwenye kushambulia, sio complete fullback
Yeah kipo poa...maana kumtegemea Alonso na spidi z Wale vijana itakuwa kasheshe sema sarr naye anacheza nguvu nyingi Sana si bure akaishia na kadiBest 11 for Real Madrid View attachment 2175612
Mimi shabiki wa chelsea Sarr sijui kafikaje klabuniSar hata kutoa pasi hajui na ni uchochoro, anacheza rafu za kipuuzi, ni mchezaji wa hovyo kuwahi kutokea. Bora Alonso mara 800