Hii game iliisha kipindi cha kwanza kama Pulisic angeweka kambani zile mbili.Hiu mpira tuliocheza mpaka tunascore hizi goal mbili hapa mwisho ndio mpira tunatakiwa kucheza tukikutana na timu za calibre ya Liverpuru.
Ni mwendo wa kupiga mawe tu.
Tumekosa goal mbili za wazi kabisa.
Yako Penandez anakutoshaHii timu sio yangu lakini nafurahishwa sana na uchezaji wa Kamanda Kovacic.. achana na goli!
Mkuuu unajificha sana tembea kifua mbereKTBFFH
Mendy anawakatalia magoli huku.Mkuuu unajificha sana tembea kifua mbere
Heheheee basi sawa!Huyo achana naye anahama kama bendera inavofata upepo.
Vijana wamekaza sanaMkuuu Stefano Mtangoo
Sasa ni
2_2
Man City ana faida, ila kusema kuwa anaweza asiwe bingwa ni kichaa, hapo hauko sawa. Mpirani chochote huweza kutokea. Ilikuwa the same kwa Chelsea kabla ya majeruhi na ma Covid kuvuruga kila kitu. So Yeah, wana faida ambayo waki maintain watakuwa mabingwa. Ila michezo inaendelea bado!Kufika sasa ni kichaa pekee ndo atoamini man city sio bingwa.
Chelsea yangu mimi nilishaiondoa kwenye ubingwa. Nilishasema Chelsea ikidrop point mechi tatu december ubingwa tena basi.Kufika sasa ni kichaa pekee ndo atoamini man city sio bingwa.
Mendy kuna wakati anaboa, hata goli la Salah hakuweka juhudi yeye na Alonso na Chalobah.Halafu kuna kipindi Chelsea fans wanakuambia mendy hafai bora kepa nahis wanakuwa wanatania tu na sikweli
Hiyo ndio yenyewe [emoji1787][emoji125]Game ijayo tar 15 man cty then spurs du mbona kma ratiba haiko fair kabsa